WATAALAM NISHATI, REA, TANESCO WAKAGUA MIRADI YA REA MOROGORO

Leo tarehe 13 Mei, 2018 wataalam kutoka  Wizara ya Nishati, Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) wamefa...


Leo tarehe 13 Mei, 2018 wataalam kutoka  Wizara ya Nishati, Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) wamefanya  ziara katika vijiji vya Mandera, Mtego wa Simba na Kibaoni vilivyopo mkoani Morogoro. Lengo la ziara hiyo lilikuwa ni kukagua utekelezaji wa miradi ya usambazaji wa umeme vijijini inayosimamiwa na Wakala wa Nishati Vijijini Awamu ya Tatu (REA III) Katika ziara hiyo ilielezwa kuwa, kampuni ya State Grid iliyopewa kazi hiyo katika mkoa wa Morogoro inatarajiwa kuwasha umeme katika vijiji vya Mandera, Mtego wa Simba na Kibaoni tarehe 16 Mei, 2018.

Meneja wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) mkoa wa Morogoro, Mhandisi Hassan Saidy (katikati) akielezea hatua iliyofikiwa ya ujenzi wa miundombinu ya umeme katika kijiji cha Mandera kilichopo wilayani Kilosa mkoani Morogoro kwa wataalam kutoka Wizara ya Nishati na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) katika ziara hiyo. Kulia ni Mtaalam kutoka Wizara ya Nishati, Mhandisi Yusuph Msembele.



Moja ya transfoma zilizofungwa na kampuni ya State Grid katika kijiji cha Mandera   kilichopo wilayani Kilosa mkoani Morogoro.

Meneja Mwandamizi wa TANESCO- Kanda ya Kati, Mhandisi Atanasius Nangali ( wa pili kulia) akifafanua jambo katika ziara hiyo.


Meneja wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) mkoa wa Morogoro, Mhandisi Hassan Saidy akielezea changamoto katika usambazaji wa miundombinu ya umeme vijijini kupitia Mradi wa REA Awamu ya III katika kijiji cha Mtego wa Simba kilichopo wilayani Morogoro Vijijini mkoani Morogoro.


Meneja wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) mkoa wa Morogoro, Mhandisi Hassan Saidy (kushoto) akimsikiliza  mwananchi wa kijiji cha Kibaoni kilichopo wilayani Mvomero mkoani Morogoro, Joseph Mkude (kulia) katika ziara hiyo.


COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WATAALAM NISHATI, REA, TANESCO WAKAGUA MIRADI YA REA MOROGORO
WATAALAM NISHATI, REA, TANESCO WAKAGUA MIRADI YA REA MOROGORO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgK08cOP83L6WgOiIIkz3lqTVVzMB619cIruCL7okwH2rClkVlmr9OAP1Lf0O1NJM8m7QWo-HkgHNWVgHoI1eTxqLzD6lho_tthSdZfy-dNPb70ChKcYPNrNfFttFSjjAjdMcne5J-JPIQ/s640/PICHA+NA+1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgK08cOP83L6WgOiIIkz3lqTVVzMB619cIruCL7okwH2rClkVlmr9OAP1Lf0O1NJM8m7QWo-HkgHNWVgHoI1eTxqLzD6lho_tthSdZfy-dNPb70ChKcYPNrNfFttFSjjAjdMcne5J-JPIQ/s72-c/PICHA+NA+1.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/05/wataalam-nishati-rea-tanesco-wakagua.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/05/wataalam-nishati-rea-tanesco-wakagua.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy