YALIYOJIRI TENA BUNGENI LEO APRILI 11 2018 MJINI DODOMA
HomeJamii

YALIYOJIRI TENA BUNGENI LEO APRILI 11 2018 MJINI DODOMA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora mhe. Kapteni Mstaafu George Mkuchika akiwasilisha hotuba ya makadirio ya matumizi ...

WAZIRI MHAGAMA: USALAMA MAHALI PA KAZI KUCHOCHEA UCHUMI WA VIWANDA
SALAMU ZA HERI YA MIAKA 54 YA MUUNGANO, KUTOKA OFISI YA KAMISHNA JENERALI WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI NCHINI
KONCEPT YAWAJENGEA UWEZO WA KUJITAMBUA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA WA SHHULE YA WAVULANA KIBITI


Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora mhe. Kapteni Mstaafu George Mkuchika akiwasilisha hotuba ya makadirio ya matumizi ya  Ofisi hiyo na Taasisi zake kwa mwaka wa fedha 2018/19  leo mjini Dodoma.

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI mhe. Selemani Jafo akiwasilisha hotuba ya makadirio ya matumizi ya  Ofisi hiyo na Taasisi zake kwa mwaka wa fedha 2018/19  leo mjini Dodoma.
 Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akiteta jambo na Naibu Waziri wake mhe Juliana Shonza wakati wa kipindi cha maswali na majibu leo Bungeni mjini Dodoma.
 Waziri wa Nishati Dkt. Merdard Kalemani akiteta jambo na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi mhe. William Lukuvi Bungeni mjini Dodoma leo.
Mbunge wa Msalala mhe. Ezekiel Maige akisisitiza jambo Bungeni wakati wa Kipindi cha maswali na majibu Bungeni mjini Dodoma mapema leo.
 Wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Dodoma  (UDOM) wakifuatilia Bunge wakati wa kipindi cha maswali na majibu leo bungeni mjini Dodoma wakati wa ziara ya mafunzo  Bungeni.
 Sehemu ya Viongozi wa Serikali akiwemo Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI na watendaji wengine wa Serikali wakifuatilia Bunge leo mjini Dodoma.
(Picha zote na Frank  Mvungi- MAELEZO, Dodoma)
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: YALIYOJIRI TENA BUNGENI LEO APRILI 11 2018 MJINI DODOMA
YALIYOJIRI TENA BUNGENI LEO APRILI 11 2018 MJINI DODOMA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh2PUIpBnG5z8Xnyf5hZzh5a_JbTay7PDkMDPN4YMOi0J3Kc7bZwAxVpLcTLqew7rAAUjPSctJI_D8EyGii8J_JUSUkRIPPLW0goKRKd4A8XY-n50PBQn91dSWd_rzo1bisIA3dz_MLFSc/s1600/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh2PUIpBnG5z8Xnyf5hZzh5a_JbTay7PDkMDPN4YMOi0J3Kc7bZwAxVpLcTLqew7rAAUjPSctJI_D8EyGii8J_JUSUkRIPPLW0goKRKd4A8XY-n50PBQn91dSWd_rzo1bisIA3dz_MLFSc/s72-c/1.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/04/yaliyojiri-tena-bungeni-leo-aprili-11.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/04/yaliyojiri-tena-bungeni-leo-aprili-11.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy