Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na mbunge wa Kinondoni kwa tiketi ya CCM, Maulid Mtulia, (kushoto kwake) na ujum...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na mbunge wa Kinondoni kwa tiketi ya CCM, Maulid Mtulia, (kushoto kwake) na ujumbe wa wapenzi na mashabiki wa CCM kutoka Kinondoni waliomsindikiza mbunge huyo kutoka Dar es salam hadi bungeni Dodoma Aprili 3, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na mbunge wa Siha kwa tiketi ya CCM, Godwin Aloyce Mollel, (kushoto kwake) na ujumbe wa wapenzi na mashabiki wa CCM kutoka Kinondoni waliomsindikiza mbunge huyo kutoka mkoani Kilimanjaro hadi bungeni Dodoma Aprili 3, 2018.
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Juma Aweso (kulia) akizungumza na Mbunge wa Busega, Raphael Chegeni kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma, Aprili 3, 2018.




Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson Mwansasu akimwapisha, Maulid Mtulia kuwa mbunge wa Kinondoni kwa tiketi ya CCM, bungeni mjini Dodoma Aprili 3, 2018.
COMMENTS