WASOMI WAHIMIZWA KUJENGA UTAMADUNI WA KUANDIKA VITABU
HomeJamii

WASOMI WAHIMIZWA KUJENGA UTAMADUNI WA KUANDIKA VITABU

Na Jacquiline    Mrisho – MAELEZO. Rai imetolewa kwa wasomi nchini kujenga utamaduni wa kuandika vitabu vya aina mbalimbali vitakavyoeli...

KISWAHILI LUGHA INAYOKUA KWA KASI DUNIANI
TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) KWA KUSHIRIKIANA HOSPITALI YA BLK YA NCHINI INDIA WATOA HUDUMA YA MATIBABU YA MOYO BILA YA KUFUNGUA KIFUA KWA WAGONJWA 16
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA APOKEA MADAWATI

Na Jacquiline  Mrisho – MAELEZO.
Rai imetolewa kwa wasomi nchini kujenga utamaduni wa kuandika vitabu vya aina mbalimbali vitakavyoelimisha jamii kuhusu uendelezaji wa viwanda na fursa za maendeleo ili wananchi wafahamu mengi juu ya nchi yao.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari - MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi ametoa rai hiyo pia akahimiza watanzania kujenga tabia ya kujisomea mara kwa mara, wakati akizindua kitabu cha ‘Uchumi wa Viwanda’ kichoandikwa na Mhandisi wa Ujenzi, Yuda Kamencha, leo jijini Dar es Salaam.

Dkt. Abbas amesema vijana wanatakiwa kutumia elimu na kujikita katika kuandika vitabu hasa vinavyoelewesha wananchi kuhusu uwekezaji katika sekta ya viwanda na kuwa ndio sera kipaumbele ya Serikali ya Awamu ya Tano ikusudiayo kuleta mageuzi makubwa ya kiuchumi nchini.
“Wasomi wetu wengi ni walalamishi, watu wa kuhamisha nadharia za ulaya, hawaandiki vitabu wala hawafanyi utafiti, hivyo  tunaomba wasomi wajikite katika kuandika vitabu mbalimbali ili kutoa maarifa kutoka kizazi kimoja kwenda kingine,” amehimiza Dkt. Abbasi.
Akipongeza juhudi za Mhandisi Kemincha, Dkt. Abbasi  amesema Mhandisi amenyambulisha kwa lugha rahisi mahitaji halisi katika kufanikisha sekta ya viwanda nchini na kushauri aendelee na juhudi hizo kwa kujitolea muda wake na gharama kuandika vitabu vya kuhamasisha na kuelemisha watanzania.
Kwa upande wake Mhandisi Kemincha ameeleza kuwa katika kitabu chake amenyambulisha mahitaji halisi vya viwanda vyetu, “kwa mfano, mahitaji ya viwanda karakana ni muhimu kama ilivyo kwa aina zingine za viwanda” amesema Mhandisi.
Mhandisi Kemincha amempongeza Rais Dkt John Pombe Magufuli kwa juhudi zake za dhati zenye nia ya kuleta mapinduzi ya uchumi nchini kwa kasi kubwa, pia akampongeza Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa ushauri wake wa kuzindua kitabu hicho ili kiwafikie watanzania wengi.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WASOMI WAHIMIZWA KUJENGA UTAMADUNI WA KUANDIKA VITABU
WASOMI WAHIMIZWA KUJENGA UTAMADUNI WA KUANDIKA VITABU
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjEXj8WWZtnQ9E7X9ImDacAGXcS_VBsRXjjjO-4wIemYEJAUnKALzWEhhJQTH2r2JTuVfqApyaUyPIbgFOHgLrwFRsCFroWu4eUO0_FkX0ifOlRW72jf0783lm_GM75WAGfeHyRaOn-kO4/s400/Dkt+Hassan+Abbas.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjEXj8WWZtnQ9E7X9ImDacAGXcS_VBsRXjjjO-4wIemYEJAUnKALzWEhhJQTH2r2JTuVfqApyaUyPIbgFOHgLrwFRsCFroWu4eUO0_FkX0ifOlRW72jf0783lm_GM75WAGfeHyRaOn-kO4/s72-c/Dkt+Hassan+Abbas.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/04/wasomi-wahimizwa-kujenga-utamaduni-wa.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/04/wasomi-wahimizwa-kujenga-utamaduni-wa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy