Naibu Spika wa Bunge la Uganda, Mhe. Jacob Oulanyah (wa pili kulia), Mbunge wa Bunge la Uganda na Mweka Hazina wa Chama cha Mabunge ya J...

Naibu Spika wa Bunge la Uganda, Mhe. Jacob Oulanyah (wa pili kulia), Mbunge wa Bunge la Uganda na Mweka Hazina wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika, Mhe. Elijah Okupa (kulia), Katibu Mkuu Msaidizi wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika Ndg. Demetrius Mgalami (wa pili kushoto) na Wakili Dunford Mpelumbe (kushoto) afisa wa Chama hicho Tawi la Afrika wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya ujumbe wa Katibu Mkuu Msaidizi wa Chama Kanda ya Afrika kumtembelea Mhe. Naibu Spika na kufanya nae maongezi Ofisini kwake Bungeni Mjini Kampala.
SEKRETARIETI YA UMOJA WA MABUNGE YA JUMUIYA YA MADOLA KANDA YA AFRIKA YAKUTANA NA NAIBU SPIKA WA BUNGE LA UGANDA.

Advertisement

MAIN QUOTE
x cbfgmfg hghg
- Steve Jobs
WEEK TRENDING
Loading...
YEAR POPULAR
Mkuu wa Chuo cha Maafisa wa Jeshi kilichopo Monduli mkoani Arusha Meja Jenerali Paul Mssao akitoa taarifa ya maofisa wapya kwa Amiri ...
HUYU NDIYE MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KULIKO WOTE DUNIANI MWANAMA Mikel Ruffinelli mkazi wa Los Angeles, Marekani, amedhihirisha k...
Msomaji wa Quran tukufu katika mashindano ya kitaifa, Abdallah Abdulkadri akisoma wakati wa fainali zake mashindano Dar es Sal...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mama Maria Nyerere wakati alipomtembelea nyumbani kwake Mwitongo, Butiama Januari 20, 2018. K...
COMMENTS