MAKAMU WA RAIS AZINDUA SIKU YA MWANAMKE WA MFANO TANZANIA
Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM akizindua Siku ya Wanawake wa Mfano Tanzania iliyoandaliwa na Umoja wa wanawake wa Tanzania (UWT) katika ukumbi wa PTA, jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
HomeJamii

MAKAMU WA RAIS AZINDUA SIKU YA MWANAMKE WA MFANO TANZANIA

Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM akizindua S...

WASICHANA WAISHUKURU TGGA KUFANIKISHA ZIARA YA MAFUNZO NJE YA NCHI
SPIKA NDUGAI APONGEZWA BAADA YA KUSHINDA NAFASI YA MWENYEKITI WA MASPIKA KATIKA MABUNGE YA JUMUIYA YA MADOLA BARANI AFRIKA
WAZIRI MAKAMBA AFANYA ZIARA KATIKA MTO MSIMBAZI LEO JIJINI DAR ES SALAAM












Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akibadilishana mawazo na moja wa wajumbe wa UWT alipowasili kuzindua siku ya Mwanamke wa Mfano Tanzania. Pamoja naye ni Mwenyekiti wa UWT, Gaudentia Kabaka.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mama Anna kapa, Mke wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa. Kulia ni Mwenyekiti wa UWT, Gaudentia Kabaka.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipunga mkono kuwasalimi washiriki wa hafla hiyo. Kulia kwake ni 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwatunza watumbuizaji wakati wa halfla hiyo.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na wageni maalum wa meza kuu.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (katikati) akiwa na Mwenyekiti wa UWT, Gaudentia Kabaka wakati wa hafla ya uzinduzi wa siku ya mwanamke wa mfano Tanzania iliyfanyika jijini Dar es Salaam leo.



Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM akizindua Siku ya Wanawake wa Mfano Tanzania iliyoandaliwa na Umoja wa wanawake wa Tanzania (UWT) katika ukumbi wa PTA, jijini Dar es Salaam. 



Mwanamke wa Mfano mke wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mama Salma Kikwete akifuatilia matukio katika hafla hiyo.


Mama Fatma Karume akionyesha juu tuzo ya Mwanamke wa Mfano Tanzania ikiwa sehemu ya kutambua mchango wake katika harakati za Mapinduzi ambapo yeye alikuwa mke wa Rais wa kwanza wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Abeid Aman Karume

Mama Anna Mkapa akionyesha juu tuzo ya Mwanamke wa Mfano Tanzania ikiwa sehemu ya kutambua mchango wake. Yeye ni Mke wa Rais mstaafu wa awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa. 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi tuzo ya Mwanamke wa Mfano mke wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mama Salma Kikwete.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Tuzo Fatma Karume Rais Chama cha Wanasheria Nchini (TLS) (kulia) wakati wa hafla ya kukabidhi tuzo Mwanamke wa Mfano Tanzania ikiwa sehemu ya kutambua mchango wake katika jamii. 

Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Mhe. Anna Makinda akionyesha juu Tuzo yake ya Mwanamke wa Mfano mara baada ya kukabidhiwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akionesha tuzo ya kutambuliwa kama Mwanamke wa Mfano, katika hafla hiyo.

Mama Fatma Karume mke wa Rais wa kwanza wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar akitoa nasaha zake mara baada ya kupokea tuzo ya Mwanamke wa Mfano iliyoandaliwa na Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT). 


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongea na wahudhuriaji wa hafla hiyo.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MAKAMU WA RAIS AZINDUA SIKU YA MWANAMKE WA MFANO TANZANIA
MAKAMU WA RAIS AZINDUA SIKU YA MWANAMKE WA MFANO TANZANIA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhMC2vF9ayUiuE6qWYCMFH9_Krr9FXuCUxMty7uWMNt2rmybxiKmZG-bkmUuelj_vzvDelS9K6-ekYobp4ImgkX_wg57ma7ZVpm2SoBfyqSvuDJbNeN4GCTuxK7hQfi4-A-rL39hGre7k0/s640/9.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhMC2vF9ayUiuE6qWYCMFH9_Krr9FXuCUxMty7uWMNt2rmybxiKmZG-bkmUuelj_vzvDelS9K6-ekYobp4ImgkX_wg57ma7ZVpm2SoBfyqSvuDJbNeN4GCTuxK7hQfi4-A-rL39hGre7k0/s72-c/9.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/04/makamu-wa-rais-azindua-siku-ya-mwanamke.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/04/makamu-wa-rais-azindua-siku-ya-mwanamke.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy