WAZIRI MAKAMBA AFANYA ZIARA KATIKA MTO MSIMBAZI LEO JIJINI DAR ES SALAAM
HomeJamii

WAZIRI MAKAMBA AFANYA ZIARA KATIKA MTO MSIMBAZI LEO JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, anayeshughulikia Mazingira na Muungano Januari Makamba akitoa maelekezo kwa wasimamizi wa mradi wa u...

WAZIRI DKT. MAHIGA AFUNGUA OFISI YA UBALOZI WA TANZANIA, ISRAEL
MAKAMANDA WA POLISI WAJINOA KUUKABILI UKATILI WA KIJINSIA
WASHIRIKI WA WAZO LA UBUNIFU WA TEKNOLOJIA YA MAPINDUZI YA KILIMO YA ABINBEV NA TBL GROUP WAPIGWA MSASA DAR




Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, anayeshughulikia Mazingira na Muungano Januari Makamba akitoa maelekezo kwa wasimamizi wa mradi wa ujenzi wa kingo za mto Msimbazi eneo la Ilala Bungoni wakati wa ziara yake ya kikazi ya kukagua ujenzi wa kingo za Mto Msimbazi, Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kigamboni na barabara ya Barack Obama mapema hii Julai 27, 2017.




Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, anayeshughulikia Mazingira na Muungano Januari Makamba akimsikiliza msimamizi wa ujenzi kingo za Mto Msimbazi katika eneo la Ilala Bungoni Mhandisi Jovinalis Kamugisha toka Kampuni ya Dezo Civil Constructions wakati wa ziara ya Waziri huyo kukagua ujenzi wa kingo za Mto Msimbazi, Chuo chaKumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kigamboni na barabara ya Barack Obama mapema hii Julai 27, 2017.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, anayeshughulikia Mazingira na Muungano Januari Makamba akikagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa kingo katika mto Msimbazi eneo la Ilala Bungoni wakati wa ziara yake ya kikazi kukagua ujenzi wa kingo za Mto Msimbazi, Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kigamboni na barabara ya Barack Obama.

Diwani wa Kata ya Ilala Mhe. Saady Khimji akimuonesha Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, anayeshughulikia Mazingira na Muungano Januari Makamba maendeleo ya mradi wa ujenzi wa kingo katika mto Msimbazi eneo la Ilala Bungoni wakati wa ziara ya Waziri huyo kukagua ujenzi wa kingo za Mto Msimbazi, Chuo chaKumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kigamboni na barabara ya Barack Obama.

Baadhi ya mafundi wakiendelea na kazi ya ujenzi wa kingo za mto Msimbazi katika eneo la Ilala Bungoni wakati wa ziara ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, anayeshughulikia Mazingira na Muungano Januari Makamba ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa kingo za Mto Msimbazi, Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu NyerereKigamboni barabara ya Barack Obama.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, anayeshughulikia Mazingira na Muungano Januari Makamba akimsikiliza mfanyabiashara ya chakula (Mama Lishe) katika eneo la Ilala Bungoni alipokuwa katika ziara ya kikazi ya kukagua ujenzi wa kingo za Mto Msimbazi, Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kigamboni na barabara ya Barack Obama.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, anayeshughulikia Mazingira na Muungano Januari Makamba (kushoto) akipata maelekezo toka kwa Mhandisi Frank Juvenily toka Kampuni ya Dezo Civil Constructions wakati wa ziara ya Waziri huyo ya kukagua ujenzi wa kingo za Mto Msimbazi, Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kigamboni na barabara ya Barack Obama.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, anayeshughulikia Mazingira na Muungano Januari Makamba (kulia) akimsikiliza Mkuu wa Chuo chaKumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Profesa, Shadrack Mwakalilawakati wa ziara ya Waziri huyo ya kukagua ujenzi wa kingo za Mto Msimbazi, Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kigamboni na barabara ya Barack Obama.


Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, anayeshughulikia Mazingira na Muungano Januari Makamba (kushoto) akimsikiliza Mkuu wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Profesa, Shadrack Mwakalilawakati wa ziara ya Waziri huyo ya kukagua ujenzi wa kingo za Mto Msimbazi, Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kigamboni na barabara ya Barack Obama.


Eneo la mradi wa ujenzi wa kingo katika Mto Msimbazi eneo la Ilala Bungoni jijini Dar es Salaam.

Eneo la mradi wa ujenzi wa kingo katika bahari ya Hindi eneo la Barabara ya Barack Obama jijini Dar es Salaam.

Eneo la mradi wa ujenzi wa kingo katika bahari ya Hindi eneo la Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kigamboni.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, anayeshughulikia Mazingira na Muungano Januari Makamba (kulia) akipata maelekezo toka kwa Msimamizi wa mradi wa ujenzi wa kingo katika bahari ya Hindi eneo la Barabara ya Barack Obama Mhandisi Hillary Josiah toka Kampuni ya Dezo Civil Constructions wakati wa ziara ya Waziri huyo ya kukagua ujenzi wa kingo za Mto Msimbazi, Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kigamboni na barabara ya Barack Obama. (Picha na Eliphace Marwa – Maelezo).
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WAZIRI MAKAMBA AFANYA ZIARA KATIKA MTO MSIMBAZI LEO JIJINI DAR ES SALAAM
WAZIRI MAKAMBA AFANYA ZIARA KATIKA MTO MSIMBAZI LEO JIJINI DAR ES SALAAM
http://fullshangweblog.com/home/wp-content/uploads/2017/07/Pix-05-2.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/07/waziri-makamba-afanya-ziara-katika-mto.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/07/waziri-makamba-afanya-ziara-katika-mto.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy