PROF. MBARAWA AWATAKA WATENDAJI KUTUMIA HEKIMA KUONGOZA.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, akikata utepe kuzindua rasmi taarifa ya Klaimatolojia ya mwaka 2017, wakati alipofungua baraza la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Nchini (TMA), linalofanyika Mkoani Dodoma. Pamoja nao (wa pili kushoto) ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo, Dkt. Agnes Kijazi.

HomeJamii

PROF. MBARAWA AWATAKA WATENDAJI KUTUMIA HEKIMA KUONGOZA.

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, akikata utepe kuzindua rasmi taarifa ya Klaimatolojia ya mwaka 2017, ...

MKEMIA MKUU KUENDELEA NA MAFUNZO KWA WADAU WAKE
JUKWAA LA BIASHARA MKOANI SIMIYU
RC RUKWA AKUTANA NA WADHIBITI UBORA WA SHULE KUJUA CHANZO CHA KUSHUKA KWA ELIMU RUKWAB

Afisa Utumishi Mkuu aliyemuwakilisha Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Sekta ya Uchukuzi, Banaga Katabazi, akitoa shukrani mara baada ya Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa (hayupo pichani) kufungua baraza la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Nchini (TMA), linalofanyika Mkoani Dodoma.


Wajumbe wa Mkutano wa baraza la Wafanyakazi  wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Nchini (TMA), wakimsikiliza Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa (hayupo pichani), wakati wa ufunguzi wa baraza hilo mkoani Dodoma.


Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa (katikati waliokaa), akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Hali Hewa Nchini (TMA), mara baada ya kulifungua Mkoani Dodoma.




Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: PROF. MBARAWA AWATAKA WATENDAJI KUTUMIA HEKIMA KUONGOZA.
PROF. MBARAWA AWATAKA WATENDAJI KUTUMIA HEKIMA KUONGOZA.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgpLxyuy4_oy3wp5QAPj-DcVCL5Aoj-_ui1E6E-fbxhlGOAaqRlH3TjxIQw02qju7rtRAznX3zXkSyk-M3YbMAVyFOVz-luSxkFMlh-DoqE0SP65apYNSz31eJWZoRiBwnXqdDnUBNxgZ0/s640/1+%25289%2529.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgpLxyuy4_oy3wp5QAPj-DcVCL5Aoj-_ui1E6E-fbxhlGOAaqRlH3TjxIQw02qju7rtRAznX3zXkSyk-M3YbMAVyFOVz-luSxkFMlh-DoqE0SP65apYNSz31eJWZoRiBwnXqdDnUBNxgZ0/s72-c/1+%25289%2529.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/03/prof-mbarawa-awataka-watendaji-kutumia.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/03/prof-mbarawa-awataka-watendaji-kutumia.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy