Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid ...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mshauri wa Rais wa Zanzibar Pemba Dkt. Maua Daftari mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Karume, Pemba.
![]() |
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili Pemba kwa ziara hiyo ya kikazi leo. |
COMMENTS