WANA CCM MUHEZA WAADHIMISHA MIAKA 41 KWA KUSHRIKI MSARAGAMBO WA UJENZI WA HOSPITALI
HomeSiasa

WANA CCM MUHEZA WAADHIMISHA MIAKA 41 KWA KUSHRIKI MSARAGAMBO WA UJENZI WA HOSPITALI

Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Muheza, Like Gugu (kulia) akiwa na Katibu Tawala wa wilaya hiyo,Desderia Haule kushoto wakishirikiana na w...

 Mwenyekiti wa CCM wilaya ya
Muheza,Like Gugu kulia
akiwa na Katibu Tawala wa wilaya hiyo,Desderia Haule kushoto
wakiwa na mashepe wakishirikiana na wananchi na wanachama wa chama hicho
kubeba kukoto kwa ajili ya ujenzi  ujenzi wa hospitali ya wilaya hiyo 
 Sehemu ya wananchi wakishriki
kwenye zoezi la kubeba maji kwa ajili ya kushiriki Msaragambo wa Ujeniz
wa Hospitali ya wilaya ya Muheza
  Mwenyekiti wa CCM wilaya ya
Muheza,Like Gugu kushoto akishusha ndoo iliyokuwa na zege kwa ajili ya
kusambazwa kwenye msingi wa ujenzi wa hospitali ya wilaya ambapo
Mwenyekiti huyo aliwaongoza wanachama wa chama hicho kushiriki kwenye
msaragambo huo
 Sehemu ya wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM wakishiriki kwenye kuchanganya zege
Sehemu ya wana CCM na wananchi
wakishirikiana kubeba zege tayari kuimwaga kwenye msingi wa ujenzi wa
hospitali ya wilaya ya Muheza wakati waliposhiriki Msaragambo ambao
uliongozwa na Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Muheza,Like Gugu (Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha)
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WANA CCM MUHEZA WAADHIMISHA MIAKA 41 KWA KUSHRIKI MSARAGAMBO WA UJENZI WA HOSPITALI
WANA CCM MUHEZA WAADHIMISHA MIAKA 41 KWA KUSHRIKI MSARAGAMBO WA UJENZI WA HOSPITALI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjAUMFCItAFck2SMXkpoe3gPFF_QLixlNDMt5VtTGl5kbxrIufeChTmk1Ba5ZBEaRSr9uipQqZ-KNoh5He29ClcHt-F_IleUY0OsM7IpbIa-HkrB_1pgy147i21NxuCpQzvX9qX7G8305vk/s640/IMG_9818.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjAUMFCItAFck2SMXkpoe3gPFF_QLixlNDMt5VtTGl5kbxrIufeChTmk1Ba5ZBEaRSr9uipQqZ-KNoh5He29ClcHt-F_IleUY0OsM7IpbIa-HkrB_1pgy147i21NxuCpQzvX9qX7G8305vk/s72-c/IMG_9818.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/02/wana-ccm-muheza-waadhimisha-miaka-41.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/02/wana-ccm-muheza-waadhimisha-miaka-41.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy