IGP SIRRO MGENI RASMI UZINDUZI WA CHAMA CHA TCAL

Mkurugenzi wa TCAL Dkt. Sinare Sinare akitoa ufafanuzi wa  jambo na waandishi wa habari(hawapo pichani) katikati ni mjumbe wa taasisi hiyo Bw. Felician Bulu na kulia ni Deogratius Rweyunga mjumbe wa taasisi ya TCAL.
(NA MPIGAPICHA WETU)
HomeJamii

IGP SIRRO MGENI RASMI UZINDUZI WA CHAMA CHA TCAL

Na Nyakongo Manyama MAELEZO DAR ES SALAAM 01.02.2018 MKUU wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Simon Sirro anatarajia kuwa mgeni...

DAWASCO YAANZA KUTOA ELIMU KWA WANANCHI JUU YA MFUMO MPYA WA UTOAJI NA UPATIKANAJI WA TAARIFA MUHIMU
TANZANIA YAFUNGUA DIMBA KUTUMIA MFUMO WA PLANREP KUSINI MWA AFRIKA
MHANDISI METHEW MTIGUMWE AWASHUKURU WADAU WOTE WALIOSHIRIKI MAONESHO YA KILIMO NA SHEREHE ZA WAKULIMA –NANE NANE MWAKA 2017

Na Nyakongo Manyama

MAELEZO

DAR ES SALAAM
01.02.2018

MKUU wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Simon Sirro anatarajia kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Chama cha Kutetea Maslahi ya Wafugaji Mbwa unaotarajia kufanyika tarehe 3 Februari mwaka huu katika Viwanja vya Leaders Club Jijini Dar es salaam.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Jijini Dar es salaam  Mkurugenzi wa  taasisi hiyo, Dkt. Sinare  Sinare amesema kuwa uzinduzi una lengo la kuwakutanisha wadau na wamiliki wa mbwa , kuhamasisha ufugaji na umiliki bora wa mbwa unaojali maslahi ya mbwa kwa wamiliki.
“Uzinduzi wa Chama chetu una lengo la kuhamasisha wananchi juu ya umuhimu wa ufugaji mbwa kwa usalama wao pamoja na kusimamia na kushauri kuhusu uzalishaji bora wa mbwa kwa wanachama, wadau na serikali”.
Dkt. Sinare ameeleza kuwa katika uzinduzi huo, Jeshi la Polisi kikosi cha mbwa  wanatarajia kufanya maonesho ya kuonesha weledi wa mbwa wao katika kulinda usalama wa raia na mali zao.
Dkt. Sinare amefafanua aina tano za uanachama ambazo ni Mwanachama wa kawaida ambao ni kwa ajili ya wamiliki wa mbwa, Mwanachama mshiriki ambae ni mtu au kampuni ambayo shughuli zinahusiana na ustawi wa mbwa, Mwanachama kampuni ambao ni kwa kampuni ambayo shughuli zake zinahusiana na matumizi au uzalishaji wa mbwa.
Nyingine ni uanachama utakaopewa mtu yeyote ambae kwa mawazo ya wanachama atasaidia kuendeleza na kutekeleza madhumuni ya TCAL na Mwanachama mgeni kwa ajili ya wageni ikiwemo watu wa kampuni ambazo sio wenyeji wa Tanzania.
Dkt. Sinare ameeleza kuwa ili kuwa mwanachama wa kundi lolote la uanachama utajaza fomu maalumu kwq ajili ya kujiandikisha kisha umtu atalipia shilingi laki moja  kama kiingilio na kupewa kitambulisho.


Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: IGP SIRRO MGENI RASMI UZINDUZI WA CHAMA CHA TCAL
IGP SIRRO MGENI RASMI UZINDUZI WA CHAMA CHA TCAL
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjeHPfgGG98JweDEq6rdXWX34_9fYQi29xxfWWhWLczwEBVL56t9Fn8SaQoL-KsL9GwdfEU4iDO6urBn5OHMTWlksXzxxG7Df5hQ-Ab3s5RnEvfV3qo_DkGQstI4fOvKv22NrFJx4bRVj4/s640/DSC_8434+%25281%2529.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjeHPfgGG98JweDEq6rdXWX34_9fYQi29xxfWWhWLczwEBVL56t9Fn8SaQoL-KsL9GwdfEU4iDO6urBn5OHMTWlksXzxxG7Df5hQ-Ab3s5RnEvfV3qo_DkGQstI4fOvKv22NrFJx4bRVj4/s72-c/DSC_8434+%25281%2529.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/02/igp-sirro-mgeni-rasmi-uzinduzi-wa-chama.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/02/igp-sirro-mgeni-rasmi-uzinduzi-wa-chama.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy