I AM MAKEKE A CELEBRATION OF AFRICAN STYLE AND DESIGN FASHION EVENT 24th FEBRUARY

A fashion designer unlike any other, an artist, an alchemist, a pioneer in his field, Makeke takes a no holds barred approach to fashion an...


A fashion designer unlike any other, an artist, an alchemist, a pioneer in his field, Makeke takes a no holds barred approach to fashion and design. He is drama and intrigue, fanciful and theatrical. The unique Afro-inspired looks that come down the runway exist outside of time. His aptly named new collection “I am Makeke” spans a next generation, Afro-futuristic style that is of his own making.” – A Critic’s Consensus. 
Nafasi Art Space is the leading contemporary art centre in Dar-es-salaam where visual and performing artists in Tanzania have the opportunity to learn, create, exhibit, and perform. Nafasi offers regular programs including artist residencies, workshops and training, art talks, and public events, such as exhibitions, film screenings, concerts, shows, festivals, and public art fairs. On Saturday, February the 24th at 4pm Nafasi Art Space will be hosting a fashion event like no other. Wearing our best African-inspired outfits we will be rolling out the red carpet for Jocktan Makeke —an award-winning fashion designer and costuming artist based in Dar es Salaam, as well as a pioneer of Afro-futuristic fashion —and our esteemed guests, for the “I AM MAKEKE” fashion event. The event will honor Makeke’s career in the fashion world. As head and founder of his own company Makeke International, Makeke is renowned for using avant-garde mediums to create intricate and sometimes otherworldly African-inspired designs. To celebrate his contribution to the fashion industry in Tanzania and abroad, Makeke will run a free ChapChap Fashion Design: Public Art Workshop from 4-6pm to teach amateurs and professionals the art of fashion design, afterwards there will be an exhibition, a documentary, a fashion show, a traditional dance, a variety of food and drinks, and since it's his birthday, there may even be cake! Nafasi Art Space is located along Eyasi Road, Mikocheni B (It is easily accessible from the ITV bust stand, and is situated right next to Hekima Garden and opposite TV1). This event will be free and open to all members of the public, and would be a pity for anyone to miss. Nafasi Art Space, P.O. Box 31715, Eyasi road, Industrial Area, Mikocheni B, Dar es Salaam www.nafasiartspace.org/info@nafasiartspace.org/www.facebook.com/nafasiartspace NAFASI ART SPACE www.nafasiartspace.org MEDIA CONTACT Sabrina Yegela Ph | +255 763 601 328 Em | sabrina.yegela@nafasiartspace.org




 nafasiartspace MIMI NI MAKEKE: Tukio La Mitindo MNAMO FEBRUARI 24, NAFASI ART SPACE ITAHUDHURIA SHOO KABAMBE YA MITINDO, ITAKAYOSHEREKEA UBUNIFU WA MITINDO YA KIAFRIKA KWA VYOMBO VYA HABARI TOLEO LA MOJA KWA MOJA 06/02/2018 "Mbunifu wa mitindo asiyefanana na wengine, msanii, muundaji, kiongozi kwenye sanaa za mitindo, Makeke anatumia njia yake peke yake kwenye kubuni mitindo. Yeye ni msanii mwenye ujuzi mkubwa wa fani yake anayejua kuifurahisha hadhira. Mavazi yake yanayodumisha tamaduni za kiafrika ni ya kipekee. Mitindo iliyopo kwenye collection yake mpya inaoitwa "Mimi ni Makeke" ni ya kizazi kijacho, ni mavazi ya ki”Afro-futuristic” aliyebuni Makeke kwa wakati ujao.” — Makubaliano ya Mkosoaji. Nafasi Art Space ni kituo cha sanaa za kisasa kilichopo Dar-es-salaam ambapo wasanii wa Kitanzania wanapata nafasi ya kujifunza, kuunda, kuonesha na kufanya kazi za sanaa. Nafasi ina programu tofauti kama vile “Artist Residency”, warsha na mafunzo, mazungumzo na wasanii, na matukio mbalimbali ya umma kama maonesho ya sanaa, filamu, shoo, matamasha, sherehe za sanaa, n.k. Siku ya Jumamosi, Februari tarehe 24 saa 10 jioni Nafasi Art Space itahudhuria tukio la mitindo la kipekee. Tutavaa nguo zetu bora kuliko zote za kitamaduni na kuweka zuria jekundu kwa ajili ya mwanamitindo maarufu Jackton Makeke aliyeshinda tuzo mbalimbali ndani na nje ya nchi kwenye fani yake ya kubuni mavazi ya Kiafrika, katika tukio babkubwa la “MIMI NI MAKEKE”. Tukio hii lina sherekea kazi anayoifanya Jackton Makeke kwenye fani yake. Msanii huyu ni mwanzilishi wa kampuni yake binafsi ya Makeke International liliyo na makao yake hapa hapa Tanzania, jijini Dar-es-salaam. Makeke anajulikana kwa kutumia mbinu za kisasa kutengeneza mitindo yake ya kipekee ya Kiafrika. Ili kusherehekea mchango wake kwenye sekta ya mitindo ndani na nje ya nchi, Jumamosi hiyo, Makeke atahudhuria “ChapChap Ubunifu wa Mitindo: Warsha wa Mafunzo ya kubuni mitindo wa bure kutoka saa 10 hadi 12 jioni, ili kuwafundisha wabunifu wa mitindo wanaotaka kujifunza na wataalamu wanaotaka kujiendeleza. Baada ya warsha kutakuwa na maonesho ya sanaa, video ya habari kwa kina, shoo ya mitindo, dansi ya kiutamaduni, chakula na vinywaji, na kwasababu itakuwa siku yake ya kuzaliwa pia, basi hata keki itakuwepo! Nafasi Art Space, P.O. Box 31715, Eyasi road, Industrial Area, Mikocheni B, Dar es Salaam www.nafasiartspace.org/info@nafasiartspace.org/www.facebook.com/nafasiartspace Nafasi Art Space iko kando ya barabara ya Eyasi, Mikocheni B (Inapatikana kwa urahisi kutoka kwenye kituo cha basi cha ITV, na iko kando ya Hekima Garden na mbele ya TV1). Hakuna kiingilio kuhudhuria tukio hili la bure, wote wanakaribishwa. NAFASI ART SPACE www.nafasiartspace.org MAWASILIANO NA VYOMBO VYA HABARI Sabrina Yegela Ph | +255 763 601 328 Em | sabrina.yegela@nafasiartspace.org 

 



COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: I AM MAKEKE A CELEBRATION OF AFRICAN STYLE AND DESIGN FASHION EVENT 24th FEBRUARY
I AM MAKEKE A CELEBRATION OF AFRICAN STYLE AND DESIGN FASHION EVENT 24th FEBRUARY
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgjuCcml7TLkv2C_so7jgwnCKtnCE4PoX-rvdIiHo0Z-s-5H2dgWQiC5tk4xFB9ZEJT4aeunctcv5cDMf2EEn0uXTFXnh_bCLvq_LH2QcQJX1aY5d6qnWQNe03UNtn9ijPg-Tq08yxq4Ts/s400/makeke+A.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgjuCcml7TLkv2C_so7jgwnCKtnCE4PoX-rvdIiHo0Z-s-5H2dgWQiC5tk4xFB9ZEJT4aeunctcv5cDMf2EEn0uXTFXnh_bCLvq_LH2QcQJX1aY5d6qnWQNe03UNtn9ijPg-Tq08yxq4Ts/s72-c/makeke+A.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/02/i-am-makeke-celebration-of-african.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/02/i-am-makeke-celebration-of-african.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy