CCM YATOA SEMINA KWA VIONGOZI NA WANACHAMA KATA YA BONYOKWA
HomeSiasa

CCM YATOA SEMINA KWA VIONGOZI NA WANACHAMA KATA YA BONYOKWA

Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Bonyokwa, Mohamed Chende, akibadilishana na mawazo na Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Kisiwani...

SAMIA : VIJANA WANA KASI YA 4G WAPEWE NAFASI YA KUKIONGOZA CHAMA
MHE. SAMIA AZUNGUMZA NA WAJUMBE WA KAMATI ZA SIASA WILAYA YA KATI UNGUJA
MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA VIONGOZI WA CCM LEO



Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Bonyokwa, Mohamed Chende, akibadilishana na mawazo na Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Kisiwani, Peter, Mwasingi (wa pili kushoto), kada wa CCM, Ebeneza Emmanuel (kulia) na (kushoto) ni kada wa chama hicho, Willy Kamwela,


Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Kata ya Bonyokwa, Nuhu Mwambuma (kulia), akibadilishana mawazo na Mjumbe wa Halmashauri Kuu Wilaya ya Ilala, Mjumbe wa Halmashauri Kuu Kata ya Bonyokwa na Mjumbe wa Baraza UWT, Tumike Malilo (kushoto), kabla ya kuanza kwa semina hiyo. Katikati ni kada wa chama hicho, Willy Kamwela.



Katibu wa CCM Kata ya Bonyokwa, Mohamed Chende, akibadilishana na mawazo na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Kata ya Bonyokwa, Nuhu Mwambuma.

Katibu wa CCM Kata ya Bonyokwa, Mohamed Chende, akitoa hotuba yake wakati wa semina elekezi kwa viongozi wa CCM Kata ya Bonyokwa.
Washiriki wa semina hiyo.
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ilala, Abdulaziz Chuma, akifungua semina elekezi kwa viongozi wa CCM Kata ya Bonyokwa jijini Dar es Salaam. Wa pili kushoto ni Katibu wa CCM Kata ya Bonyokwa, Mohamed Chende.
Semina ikiendelea.

Kada wa CCM, Ebeneza Emmanuel akitoa mada katika semina hiyo.

Baadhi ya washiriki wa semina hiyo.

Meza Kuu.

Mjumbe wa Halmashauri Kuu Wilaya ya Ilala, Mjumbe wa Halmashauri Kuu Kata ya Bonyokwa na Mjumbe wa Baraza UWT, Tumike Malilo (kushoto), akiwa ukumbini kabla ya kuanza kwa semina hiyo.
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Kisiwani, Peter, Mwasingi (kushoto), akifuatilia mada katika semina hiyo.
Baadhi ya washiriki wa semina hiyo.


Katibu wa CCM Kata ya Bonyokwa, Mohamed Chende (kushoto), Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Kisiwani, Peter Mwasingi (kulia) pamoja na kada wa chama hicho, Willy Kamwela, wakiwa katika picha ya pamoja.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: CCM YATOA SEMINA KWA VIONGOZI NA WANACHAMA KATA YA BONYOKWA
CCM YATOA SEMINA KWA VIONGOZI NA WANACHAMA KATA YA BONYOKWA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgDM7XZk1As7ljg8C8XJOS8f6tcThaNL0wv8YUozEdfQbJem5KLuGImmFspsTTxFKv1A1PillYXu5zuQPC1LF8Ng7fPS_rWJcfcmoN9bufyQ8CWJNF9oFhWbUqUV2lDJB7asdf1pY3okmU/s640/IMG_9208.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgDM7XZk1As7ljg8C8XJOS8f6tcThaNL0wv8YUozEdfQbJem5KLuGImmFspsTTxFKv1A1PillYXu5zuQPC1LF8Ng7fPS_rWJcfcmoN9bufyQ8CWJNF9oFhWbUqUV2lDJB7asdf1pY3okmU/s72-c/IMG_9208.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/02/ccm-yatoa-semina-kwa-viongozi-na.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/02/ccm-yatoa-semina-kwa-viongozi-na.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy