WAZIRI DKT. MWIGULU NCHEMBA AONGOZA KIKAO CHA WIZARA NA IDARA ZAKE JIJINI DAR ES SALAAM
HomeJamii

WAZIRI DKT. MWIGULU NCHEMBA AONGOZA KIKAO CHA WIZARA NA IDARA ZAKE JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dkt. Mwigulu Nchemba akiongoza kikao cha kujadili utendaji kazi wa wizara na Idara zilizopo chini ya wiza...






Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dkt. Mwigulu Nchemba akiongoza kikao cha kujadili utendaji kazi wa wizara na Idara zilizopo chini ya wizara.Kushoto meza kuu ni Katibu Mkuu wa wizara, Meja Jenerali Mstaafu Projest Rwegasira na kulia ni Naibu Katibu Mkuu Balozi Hassan Simba Yahya.Kikao hicho kimefanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi,jijini Dar es Salaam.


Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Mstaafu Projest Rwegasira, akizungumza na Wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama(hawapo pichani), wakati wa kikao cha kujadili utendaji kazi wa wizara na idara zilizopo chini ya wizara.Kulia ni Waziri wa wizara hiyo, Dk. Mwigulu Nchemba. Kikao hicho kimefanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi,jijini Dar es Salaam.

Mkuu wa Utawala na Fedha wa Jeshi la Polisi, Kamishna Albert Nyamhanga, akiwasilisha taarifa ya utendaji wa idara ya polisi kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Mwigulu Nchemba(hayupo pichani), wakati wa kikao cha kujadili utendaji kazi wa wizara na Idara zilizopo chini ya wizara. Kikao hicho kimefanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi,jijini Dar es Salaam.Kulia ni Kamishna Musa Ali Musa.

Kamishna Jenerali wa Magereza, Dk. Juma Malewa akiwasilisha taarifa ya utendaji wa idara ya magereza kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Mwigulu Nchemba (hayupo pichani), wakati wa kikao cha kujadili utendaji kazi wa wizara na Idara zilizopo chini ya wizara. Kikao hicho kimefanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi,jijini Dar es Salaam.

Kamishna wa Operesheni wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Billy Mwakatage akiwasilisha taarifa ya utendaji wa idara yake kwaWaziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Mwigulu Nchemba(hayupo pichani), wakati wa kikao cha kujadili utendaji kazi wa wizara na Idara zilizopo chini ya wizara. Kikao hicho kimefanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi,jijini Dar es Salaam.


Kaimu Mkuu wa Idara Uzalishaji Vitambulisho wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa(Nida), Alphonce Malibiche, akiwasilisha taarifa ya utendaji wa idara yake kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Mwigulu Nchemba(hayupo pichani), wakati wa kikao cha kujadili utendaji kazi wa wizara na Idara zilizopo chini ya wizara. Kikao hicho kimefanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi, jijini Dar es Salaam. (PICHA NA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI)

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WAZIRI DKT. MWIGULU NCHEMBA AONGOZA KIKAO CHA WIZARA NA IDARA ZAKE JIJINI DAR ES SALAAM
WAZIRI DKT. MWIGULU NCHEMBA AONGOZA KIKAO CHA WIZARA NA IDARA ZAKE JIJINI DAR ES SALAAM
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgZXjgZl8TUjw2i1q2wTACF2JF1ZSDj-QnNzffwbqU_uAmNE64M7GEwQLwt7YlV758nfCavoLDZX6m1hGHYE0UULWwXGtisnSMBtjgDOMuBnFVhA2r0l89onun3DnUjSjoMG7SUrgl0OUUh/s640/PIX+1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgZXjgZl8TUjw2i1q2wTACF2JF1ZSDj-QnNzffwbqU_uAmNE64M7GEwQLwt7YlV758nfCavoLDZX6m1hGHYE0UULWwXGtisnSMBtjgDOMuBnFVhA2r0l89onun3DnUjSjoMG7SUrgl0OUUh/s72-c/PIX+1.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/01/waziri-dkt-mwigulu-nchemba-aongoza.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/01/waziri-dkt-mwigulu-nchemba-aongoza.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy