WATATU WALAMBA MAMBILIONI TA TATUMZUKA JUMAPILI JACKPOT
HomeBiashara

WATATU WALAMBA MAMBILIONI TA TATUMZUKA JUMAPILI JACKPOT

watatu walamba mamilioni ya tatumzuka jumapili Jackpot   Meneja Mawasiliano wa mchezo wa kubahatisha wa TatuMzuka Sebastian Maganga a...


watatu walamba mamilioni ya tatumzuka jumapili Jackpot

 Meneja Mawasiliano wa mchezo wa kubahatisha wa TatuMzuka Sebastian Maganga akizungumza mbele ya Waandishi wa habari (hawapo pichani) hivi karibuni wakati wa kuwatambulisha na  kuwakabidhi hundi zao washindi watatu wa TatuMzuka (Jumapili Jackpot),mchezo huo ulifanyika mwishoni mwa wiki.Maganga amewaomba Watanzania kuendelea kujitokeza kwa wingi kuendelea kucheza mchezo huo,kwani umekuwa ukiwakwamua wengi waliobahatika na kuwa wafanyabiashara/wajasiliamali wazuri na vipato vyao vimekuwa vikiongezeka siku hadi siku.
Pichani kati ni Lucas Swebe akitoa ushuhuda wa namna alivyojishindia fedha taslimi Milioni tano katika  mchezo wa TatuMzuka (Jumapili Jackpot),Pichani kulia ni mshindi mwingine aitwaye Mrisho Maganga aliyejinyakulia kitita cha shilingi Milioni 22 pamoja nae (kutosho) ni Daniel Mwachali ambaye naye alijinyakulia kitita cha shilingi Milioni 22.
 Meneja Mawasiliano wa mchezo wa kubahatisha wa TatuMzuka
Sebastian Maganga akimkabidhi mfano wa hundi ya Milioni 22,Danie Mwachali aliyojishindia kwenye mchezo wa TatuMzuka (Jumapili Jackpot) uliofanyika mwishoni
mwa wiki.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WATATU WALAMBA MAMBILIONI TA TATUMZUKA JUMAPILI JACKPOT
WATATU WALAMBA MAMBILIONI TA TATUMZUKA JUMAPILI JACKPOT
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgmbjSHXBGpsZIcFijDURj34c62lclGHI_sKZBz4UOQeY9izXFIHlSblVnAZGSJ7nVkzaGbOu9ZqlVcBcYaEFRgla2cj5krJVJ0JRKunbbLxfEVu7S6-OhoUVSBodVKtYfGFS6jakCvv8_A/s640/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgmbjSHXBGpsZIcFijDURj34c62lclGHI_sKZBz4UOQeY9izXFIHlSblVnAZGSJ7nVkzaGbOu9ZqlVcBcYaEFRgla2cj5krJVJ0JRKunbbLxfEVu7S6-OhoUVSBodVKtYfGFS6jakCvv8_A/s72-c/1.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/01/watatu-walamba-mambilioni-ta-tatumzuka.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/01/watatu-walamba-mambilioni-ta-tatumzuka.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy