MWILI WA MAREHEMU LULU SYLVESTER MATTUNDA LEMA WAWASILI KIJIJINI NRONGA KWA MAZISHI
Waombolezaji wakiwa wamebeba  jeneza lenye mwili wa marehemu, Lulu Sylvester  Mattunda Lema mara baada ya kuwasili nyumbani kwao katika Kitongoji cha Nkwelengya, Kijiji cha Nronga, Kata ya Machame Magharibi,Wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro  Januari 25, 2018. Mazishi yanatarajiwa kufanyika leo Ijumaa Januari 26, 2018.
HomeJamii

MWILI WA MAREHEMU LULU SYLVESTER MATTUNDA LEMA WAWASILI KIJIJINI NRONGA KWA MAZISHI

Waombolezaji wakiwa wamebeba  jeneza lenye mwili wa marehemu, Lulu Sylvester  Mattunda Lema mara baada ya kuwasili nyumbani kwao katika ...




 Marehemu Lulu  Sylvester Mattunda Lema. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)


 Familia katika picha ya pamoja eneo la Korogwe Bararara ya Tanga


 




Waombolezaji wakiwa nyumbani hapo
 Sylvester
Mattunda Lema (wa pili kulia) katika picha ya pamoja na watoto wake
mara
baada ya kuwasili Nyumbani kwao katika Kitongoji cha Nkwelengya, Kijiji
cha Nronga, Kata ya Machame Magharibi, Mkoa wa Kilimanjaro Wilaya ya
Hai kwa taratibu za mazishi yatakayofanyika Leo  Saa Nane Mchana,
Januari 26, 2018 katika makaburi ya familia yaliyopo eneo hilo

 Mwinjilisti wa Usharika wa Nronga, Donald Lema akizungumza  jambo baada ya mwili wa  marehemu, Lulu Sylvester
Mattunda Lema
ulipowasili katika
Kitongoji cha Nkwelengya, Kijiji cha Nronga, Kata ya Machame Magharibi,
Wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro  Januari 25, 2018 kwa taratibu za mazishi
yanayofanyika leo  Ijumaa Januari 26, 2018 saa Nane Mchana, katika makaburi
ya familia yaliyopo eneo hilo, ambapo Lema alisema, "Katika mtihani huu ndugu yangu Sylvester,umeshinda katika ile ahadi uliyotamka ni kifo ndicho kitakacho tutenganisha mimi na wewe Lulu,hivyo ahadi hiyo umeitimiza, Profesa Lema
pamoja na ndugu zako wote nachukua nafasi ya kuwapeni pole sana na Mungu akawatie nguvu, huyo aliyekufa maisha yake yamekwisha aliyebaki ndiye ameumia zaidi,wapo ndugu zetu waliokuwa Dar es Salaam ambao katika msiba huu walishughulika kufa kupona wahakikishe jambo hili limewezekana kama hivi lilivyowezekana, wapendwa niseme nivile tunauona msiba tukiusikia kwa mwingine, tumeona mwili umetufikia nyumbani,kutokana na msiba huu kuna watu
wanashughulika kwa kujitolea kwa hali na mali, wapo wanaotoa matangazo wapo wanaofanya hili na lile kuhakikisha jambo linakwenda vizuri na wapo waliojitoa kwa hali na mali ,na kwa wale waliotoka Dar es Salaam na kwa wale waliotoka ndani na nje ya nchi naomba

kuwashukuru sana kwaniaba ya ushirika wa Nronga kwa kufanya juhudi zote kuuleta mwili wa mpendwa hapa nyumba pia napenda kuwaambia mumtie moyo ndugu yenu pamoja na watoto na mumtegemee Mungu Kwa mioyo yenu yote, huu mwaka ni mwaka wa marejesho, atarejesha amani
pasipo amani, atarejesha baraka pasipo baraka, atarejesha afya mahali  afya imetoweka na huu mwaka nimzuri sana kwa anaemtegemea Mungu.

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MWILI WA MAREHEMU LULU SYLVESTER MATTUNDA LEMA WAWASILI KIJIJINI NRONGA KWA MAZISHI
MWILI WA MAREHEMU LULU SYLVESTER MATTUNDA LEMA WAWASILI KIJIJINI NRONGA KWA MAZISHI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjoHrvQ9OehyphenhyphenkIfXZXwR7WI5PTd_t1roRgHnPhR4DtDU5Xs5vcCD6ifH00VXd1mfdA2KvbxdYTbHnYdgE-esjfH77p5Ba-YfAIKbBYKRTaCbr9jJ8aiWDw8pGa-Bb03jt3BwRC5RzZ2jN74/s640/6.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjoHrvQ9OehyphenhyphenkIfXZXwR7WI5PTd_t1roRgHnPhR4DtDU5Xs5vcCD6ifH00VXd1mfdA2KvbxdYTbHnYdgE-esjfH77p5Ba-YfAIKbBYKRTaCbr9jJ8aiWDw8pGa-Bb03jt3BwRC5RzZ2jN74/s72-c/6.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/01/mwili-wa-marehemu-lulu-sylvester.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/01/mwili-wa-marehemu-lulu-sylvester.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy