MTANDAO WA ELIMIKA WIKIENDI WA KWENYE TWITTER SASA WAJA NA TOVUTI YA JUKWAA LA MAJADILIANO
HomeJamii

MTANDAO WA ELIMIKA WIKIENDI WA KWENYE TWITTER SASA WAJA NA TOVUTI YA JUKWAA LA MAJADILIANO

Ili Kujiunga na Mtandao huu wa Elimika Wikiendi Bofya hapa www.elimika.co.tz  Kwa ufupi #ElimikaWikiendi ilianzishwa mnamo tarehe 15....

RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AONGOZA MAADHIMISHO SIKU YA MAADILI NA HAKI ZA BINADAMU DUNIANI
UKINYIMWA UNYUMBA NDANI YA NDOA NENDA KASHITAKI DAWATI LA JINSIA POLISI
RAIS MAGUFULI AMUAPISHA OLE SENDEKA NA WENGINE WALIOTEULIWA

Ili Kujiunga na Mtandao huu wa Elimika Wikiendi Bofya hapa www.elimika.co.tz 
Kwa ufupi
#ElimikaWikiendi ilianzishwa mnamo tarehe 15.01.2016 kama jamvi wazi kwa wapenda Kiswahili ili kujadili mambo mbalimbali yanayohusu jamii zao
 Kutafiti,kuhoji,kufahamiana,kujifunza mambo kadha wa kadha ikiwemo ubunifu wa Tehama, elimu juu ya afya, maendeleo jamii,ujasiliamali, mitindo, michezo na mengine mengi.

#ElimikaWikiendi hufanyika kila jumamosi kwa njia ya Twitter kuanzia saa 2:00 asubuhi mpaka saa 7:00 mchana kupitia #tag #ElimikaWikiendi . Saa moja la kwanza huwa ni wakati wa kukienzi Kiswahili kwa misemo,nahau,mafumbo na methali tofauti, na ikifuatiwa saa nyingine kwa ajili ya elimu juu ya afya kutoka kwa wataalam mbalimbali, Ikimalizia na masomo mchanganyiko ikiwa ni pamoja na teknolojia,maendeleo ya jamii au mada tofauti zenye mlengo wa kuelimisha jamii. 
Muonekano wa Tovuti ya Elimika Wikiendi



Baadhi ya Jumbe mbalimbali ambazo zilitumwa wakati wa kutambulisha rasmi Tovuti ya Elimika Wikiendi.
Ili Kujiunga na Mtandao huu wa Elimika Wikiendi Bofya hapa www.elimika.co.tz 
 Twitter @EW_Tanzania

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MTANDAO WA ELIMIKA WIKIENDI WA KWENYE TWITTER SASA WAJA NA TOVUTI YA JUKWAA LA MAJADILIANO
MTANDAO WA ELIMIKA WIKIENDI WA KWENYE TWITTER SASA WAJA NA TOVUTI YA JUKWAA LA MAJADILIANO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgvqSucKb9FF0cgAHUETP9YmDyepnVqeF5IgmSUiWvdbdtO48RzTXg4oXV4A23AN9v-OAEeQYMBTForJq8daduMe5dKa-hxA7NS3Q2KmjQm0ZfvlcRZJAVl5KJVvaYpt4Ed1dSBCVsXvlfA/s640/1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgvqSucKb9FF0cgAHUETP9YmDyepnVqeF5IgmSUiWvdbdtO48RzTXg4oXV4A23AN9v-OAEeQYMBTForJq8daduMe5dKa-hxA7NS3Q2KmjQm0ZfvlcRZJAVl5KJVvaYpt4Ed1dSBCVsXvlfA/s72-c/1.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/01/mtandao-wa-elimika-wikiendi-wa-kwenye.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/01/mtandao-wa-elimika-wikiendi-wa-kwenye.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy