Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwenyekiti wa Tume ya Maadil...

Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Mwenyekiti wa Tume ya Maadili ya Viongozi Zanzibar Nd,Asaa Ahmada Rashid alipowasili katika Viwanja vya Victoria Garden Mjini Unguja katika sherehe za Maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu Duniani zilizofanyika leo.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein
akifuatana na Mwenyekiti wa Tume ya Maadili ya Viongozi Zanzibar Nd,Asaa Ahmada Rashid (kulia)
na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na
Utawala Bora Mhe,Haroun Ali Suleiman mara alipowasili katika Viwanja vya
Victoria Garden Mjini Ungujakatika sherehe za Maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu Duniani zilizofanyika leo.
Kikundi
cha Brass Band cha Jeshi la Polisi Zanzibar wakiongoza matembezi ya
Taasisi mbali mbali zilizoshiriki katika sherehe za maadhimisho ya siku
ya Maadili na Haki za Binadamu Duniani zilizofanyika leo katika Viwanja
vya Victoria Garden Mjini Unguja.
Vijana
waliobeba bango linalotoa ujumbe usemao Siku ya Maadili na Haki za
Binadamu”Imarisha Utawala Bora kwa Kukuza Uadilifu,Uwajibikaji,Haki za
Binadamu na Mapambano Zidi ya Rushwa”wakati wa matembezi ya maadhimisho
ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu Duniani zilizofanyika leo katika
Viwanja vya Victoria Garden Mjini Unguja.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein
akiwapungia mkono vijana walioshiki matembezi katika wa sherehe za
maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu Duniani zilizofanyika
leo katika Viwanja vya Victoria Garden Mjini Unguja.
Vijana
walioshiki matembezi katika sherehe za maadhimisho ya siku ya Maadili
na Haki za Binadamu Duniani zilizofanyika leo katika Viwanja vya
Victoria Garden Mjini Unguja,wakipita mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein alipokuwa akipokea matembezi hayo.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein
(katikati) pamoja na Viongozi mbali mbali wakisimama wakati wimbo wa
Taifa ukipigwa.
Ngoma
ya Kibati ikichezwa na kikundi cha Vijana Ngoma Group katika sherehe za
maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu Duniani
zilizofanyika leo katika Viwanja vya Victoria Garden Mjini Unguja.
Baadhi
ya Viongozi na wananchi waliohudhuria katika sherehe za maadhimisho ya
siku ya Maadili na Haki za Binadamu Duniani zilizofanyika leo katika
Viwanja vya Victoria Garden Mjini Unguja.
Baadhi
ya Vijana waliohudhuria katika sherehe za maadhimisho ya siku ya
Maadili na Haki za Binadamu Duniani zilizofanyika leo katika Viwanja vya
Victoria Garden Mjini Unguja,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein.
Baadhi ya Viongozi wakimsikiliza Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(hayupo pichani)alipokuwa akizungumza na wananchi waliohudhuria katika
sherehe za maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu Duniani
Baadhi ya Viongozi wakimsikiliza Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(hayupo pichani)alipokuwa akizungumza na wananchi waliohudhuria katika
sherehe za maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu Duniani
Baadhi
ya Vijana waliohudhuria katika sherehe za maadhimisho ya siku ya
Maadili na Haki za Binadamu Duniani zilizofanyika leo katika Viwanja vya
Victoria Garden Mjini Unguja,wakimsikiliza Raiswa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa UN Bi,Anna Liboro Senga,alipokuwa akitoa salamu zake katika sherehe za Maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu Duniani zilizofanyika leo, katika Viwanja vya Victoria Garden Mjini Unguja, mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa UN Bi,Anna
Liboro Senga, katika sherehe za Maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu Duniani zilizofanyika leo,katika Viwanja vya Victoria Garden Mjini Unguja
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Haroun Ali Suleiman alipokuwa akimkaribisha Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) kuzungumza na Viongozi na Wananchi katika sherehe za
Maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu Duniani zilizofanyika
leo katika viwanja vya Victoria Garden Mjini Unguja.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akizungumza na Viongozi na Wananchi katika sherehe za Maadhimisho ya
siku ya Maadili na Haki za Binadamu Duniani zilizofanyika leo katika
viwanja vya Victoria Garden Mjini Unguja, (kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Haroun Ali Suleiman na (kushoto) Mwenyekiti wa Tume ya Maadili ya Viongozi Zanzibar Ndg. Asaa Ahmada Rashid.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein
akizungumza na Viongozi na Wananchi katika sherehe za Maadhimisho ya
siku ya Maadili na Haki za Binadamu Duniani.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein
akizungumza na Viongozi na Wananchi katika sherehe za Maadhimisho ya
siku ya Maadili na Haki za Binadamu Duniani.
Mwenyekiti wa Tume ya Maadili ya Viongozi Zanzibar Ndg. Asaa Ahmada Rashid akitoa hutuba yake katika sherehe za Maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu Duniani zilizofanyika leo,katika Viwanja vya Victoria Garden Mjini Unguja. (Picha zote na Ikulu, Zanzibar)
COMMENTS