JK AUNGANA NA WANA MSOGA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA WA 2018
HomeJamii

JK AUNGANA NA WANA MSOGA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA WA 2018

Rais mstaafu wa awamu ya nne, Dkt. Jakaya Kikwete, na mkewe mama Salma, na Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Subira Mgalu, (kulia kwa JK), waki...

WAZIRI MKUU AMPONGEZA STEVEN MASELE
NEWS ALERT; KIGWANGALLA AAGIZA MSAKO MKALI KWA WALIOUA SIMBA TISA SERENGETI
VIDEO- MAKAMU WA RAIS AZINDUA UKUTA WA FUKWE WA BAHARI- BARABARA YA BARACK OBAMA DAR ES SALAAM




Rais mstaafu wa awamu ya nne, Dkt. Jakaya Kikwete, na mkewe mama Salma, na Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Subira Mgalu, (kulia kwa JK), wakiungana na wanakijiji wa Msoga, mkoani Pwani kuukaribisha mwaka mpya wa 2018 usiku wa kuamkia leo Januari 1, 2018 ambapo, ngoma za asili, muziki wa singeli na milipuko ya fashifashi ilihanikiza eneo lote la kijiji hicho.

JK akisalimiana na mwanakijiji mwenzake na familia yake

JK na mama Salma wakisalimiana na wanakijiji wa Msoga

Fashi fashi zikipamba anga la Msoga



Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete akiangalia fashfashi angani wakati wa sherehe ya kuukaribisha mwaka mpya wa 2018, iliyofanyika usiku huu kijijini kwake Msoga, Mkoani Pwani.


Mbunge wa Chalinze, Mhe. Ridhiwani Kikwete, (kulia), naye alikuwepo, hapa anasalimiana na wapiga kura wake.

Burudani ya asili

Burudani ya asili

Burudani ya asili

Msaga Sumu naye aloikuwepo kuupamba usiku huo.

Dkt. Kikwete, akisalimiana na wazee

Hivi ndivyo ilivyokuwa Msoga

Mamam Salma akifurahia jambo na wana familia

Mmoja wa watoto wa JK, (kushoto), akisakata Singeli

Baadhi ya watoto wa JK, wakiungana na marafiki zao

Ngoma ya asili
















Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete (aliyemshika mtoto) alikuwa ni mmoja wa wakazi wa mji wa Msoga waliojumuika nyumbani kwa Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, kulikofanyika hafla ya kuukaribisha mwaka mpya wa 2018.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: JK AUNGANA NA WANA MSOGA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA WA 2018
JK AUNGANA NA WANA MSOGA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA WA 2018
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEja4Nci3ulRg1Yli2Ikuvu6-V3nmAeIee4Youw-r9QNhNl5IuHz5h92YcpLM62EZC5f1Bent0oy7dX91RJ5mDTFPEf1fEdaQRQyrHR1Aw2eNVdPNwku6r37G9zf71uDn5RomgLhO_wbPD1h/s640/MMG_4642.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEja4Nci3ulRg1Yli2Ikuvu6-V3nmAeIee4Youw-r9QNhNl5IuHz5h92YcpLM62EZC5f1Bent0oy7dX91RJ5mDTFPEf1fEdaQRQyrHR1Aw2eNVdPNwku6r37G9zf71uDn5RomgLhO_wbPD1h/s72-c/MMG_4642.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/01/jk-aungana-na-wana-msoga-kuukaribisha.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/01/jk-aungana-na-wana-msoga-kuukaribisha.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy