Waziri wa Kilimo Dkt. Charles Tizeba amekagua usafirishwaji wa Korosho kwenye bandari kuu ya Mtwara leo Januari 15, 2018. ili kujionea h...

Waziri wa Kilimo Dkt. Charles Tizeba amekagua usafirishwaji wa Korosho kwenye bandari kuu ya Mtwara leo Januari 15, 2018. ili kujionea hali ya usafirishaji wa Korosho ghafi.
zinazokwenda cchi za India na Vietnam.
Kufikia January10 mwaka huu Jumla ya tani 190 za Korosho tayari zimesafirishwa ambapo lengo ni kusafirisha tani 230 katika Msimu huu wa mavuno ya Korosho.
Pichani
Kaimu Mkurugenz wa Bodi ya Korosho CBT Hassan Jarufu akimtambulisha Meneja Mkuu wa TANECU Mohammed Mwinyuku kwa Waziri wa Kilimo Charles Tizeba Mara baada ya Kuwasili katika Uwanja wa Ndege Mkoani Mtwara,
Waziri wa Kilimo Charles Tizeba yupo Ziara ni Mkoa wa Mtwara kukagua Uuzwaji wa Zao la Korosho.

Waziri wa Kilimo Charles Tizeba akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkuu wa Bandari Nelson Mlali na Kulia kwake Kaim Mkurugenz Bodi ya Korosho CBT Hassan Jarufu Mara baada ya kuingia Eneo la Bandari ya Mtwara.


COMMENTS