Naibu Waziri wa Uvuvi na Mifugo, Abdallah Ulega, akizindua zoezi la upigaji chapa mifugo katika kijiji cha Kelema wilaya ya Nchemba mkoa...
Naibu Waziri wa Uvuvi na Mifugo, Abdallah Ulega, akizindua zoezi la upigaji chapa mifugo katika kijiji cha Kelema wilaya ya Nchemba mkoani Dodoma.
Naibu Waziri wa Uvuvi na Mifugo, Abdallah Ulega, zoezi la upigaji chapa mifugo katika kijiji cha Mungoroma wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma.
Naibu Waziri wa Uvuvi na Mifugo, Abdallah Ulega,akizungumza na wananchi wa kijiji cha Mungoroma wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma.
Naibu Waziri wa Uvuvi na Mifugo, Abdallah Ulega akimsikiliza Kaimu Meneja wa poli la akibaSwagaswaga Deogratius Swai kuhusu mifungo iliyokamatwa katika poli hilo kuanzia Julai mwaka hadi Desemba mwaka huu.. PICHA NA HALIMA KAMBI
Muonekano wa mifungo hiyo iliyo kamatwa katika poli la akiba la Swagaswaga
COMMENTS