NAIBU KATIBU MKUU TUGHE TAIFA ENG. AMANI MSUYA AMPONGEZA MWENYEKITI TUGHE MKOA DAR ES SALAAM HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI
HomeJamii

NAIBU KATIBU MKUU TUGHE TAIFA ENG. AMANI MSUYA AMPONGEZA MWENYEKITI TUGHE MKOA DAR ES SALAAM HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI

Naibu katibu mkuu Tughe Taifa Eng. Amani Msuya (aliye simama) akizungumza jambo katika hafla fupi ya kumpongeza Mwenyekiti wa Ch...

HOTUBA YA BAJETI KUU YA SERIKALI MWAKA 2017/2018 ILIYOWASILISHWA BUNGENI MJINI DODOMA
YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 44, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JUNI 08, 2017
SPIKA NDUGAI APATA UGENI WA BALOZI WA MOROCCO NCHINI TZ NA KATIBU MKUU WA CCM LEO OFISINI KWAKE MJINI DODOMA

Naibu katibu mkuu Tughe Taifa Eng. Amani Msuya (aliye simama) akizungumza jambo katika hafla fupi ya kumpongeza Mwenyekiti wa Chama Cha Wafanyakazi (TUGHE), Mkoa wa Dar es Salaam,  Mziwanda Chimwege wa kwanza kulia aliyechaguliwa hivi karibuni baada ya kuwashinda wezake wanne katika kinyanganyiro hicho, Msuya alisema. anawaomba wanachama kujitoa kwa hali na mali katika kushirikiana na mwenyekiti wao, kuanzia kushoto ni Katibu wa Tughe Mkoa wa Dar es Salaam, Gaudensi Kadyango na Mkurugenzi wa Raslimali Watu na Utawala Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) Makwaia Makani. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)


Mziwanda Chimwege alianza kwa kumshukuru Mungu pamoja na Mama mzazi na kuwashukuru Wanachama wa Chama hicho kumuamini na kumchagua yeye awe kiongozi wao.  na Pongezi maalumu kwa Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) chini ya Uongozi wa Profesa Lawrence Museru kwa ushirikiano anao upata katika kutekeleza moja ya majukumu yake katika kujadili na kutatua mambo mbalimbali,  Chimwege alisema, anaomba viongozi na wanachama wampe ushirikiano katika utekelezaji wa kukijenga Chama ikiwemo kutatua kero mbalimbali ambapo kwanza  amesema ataanza na vipaumbele kama, uwazi na mapato na matumizi ya chama hicho lakini nikidhani pia shida ya wanachama ni mafunzo kwa viongozi
katika     ngazi ya matawi na mahitaji ya semina na makongamano kwa wanachama wa Tughe Mkoa wa Dar es Salaam, Tughe kuwa na sacoss ya wanachama




















 Mziwanda Chimwege akimsalimia Mama yake mzazi Fatuma Mziwanda wakati wa hafla fupi yakupongezwa kwake ambayo iliyoandaliwa na wanachama wa Chama hicho
Chimwenge akisalimia Wanachama kabla ya hafla fupi ya kupongezwa kwake





 Mkurugenzi wa Raslimali Watu na Utawala Hospitali ya Taifa Muhimbili Makwaia Makani (wa pili kushoto) akizungumza jambo na kuanzia kulia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Wafanyakazi (TUGHE), Mkoa wa Dar es Salaam,  Mziwanda Chimwege,
Naibu katibu mkuu Tughe Taifa Eng. Amani Msuya na

Baadhi ya wanachama













Mjumbe wa Bodi ya Hospitali ya Taifa Muhimbili, Josephine Lwambuka katika picha ya pamoja na marafiki zake mara baada ya kumpongeza



Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: NAIBU KATIBU MKUU TUGHE TAIFA ENG. AMANI MSUYA AMPONGEZA MWENYEKITI TUGHE MKOA DAR ES SALAAM HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI
NAIBU KATIBU MKUU TUGHE TAIFA ENG. AMANI MSUYA AMPONGEZA MWENYEKITI TUGHE MKOA DAR ES SALAAM HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgxP57WAe02DnPdNtLxcfqAKGDJbVGfca_AvWT7Y_46G0rWU_gjFt4A2hy3E_RKoTJOLtLqrE0lg539cOlPO0_zj7e4V1vcr7Jw-RDFDuqvtmm9fL3nEL1JQg7pHFeN0EJg_eoGLDroTBDV/s320/DSC_0045.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgxP57WAe02DnPdNtLxcfqAKGDJbVGfca_AvWT7Y_46G0rWU_gjFt4A2hy3E_RKoTJOLtLqrE0lg539cOlPO0_zj7e4V1vcr7Jw-RDFDuqvtmm9fL3nEL1JQg7pHFeN0EJg_eoGLDroTBDV/s72-c/DSC_0045.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/12/naibu-katibu-mkuu-tughe-taifa-eng-amani.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/12/naibu-katibu-mkuu-tughe-taifa-eng-amani.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy