MAKAMU WA RAIS AHIMIZA MAADILI NA TABIA NJEMA SIKU YA UKIMWI DUNIANI
HomeJamii

MAKAMU WA RAIS AHIMIZA MAADILI NA TABIA NJEMA SIKU YA UKIMWI DUNIANI

JAMHURI  YA  MUUNGANO  WA  TANZANIA Anuani ya Simu: “ MAKAMU ”     Ofisi ya Makamu wa Rais, Simu Na:   2116919     6 Barabara...

KASHFA YA MAKONDA "KUVAMIA" STUDIO ZA CLOUDS: KAMATI YA NNAUYE KUWASILISHA RIPOTI KESHO ASUBUHI
VIDEO: DKT.KAFUMU, VICKY KAMATTA WAJIUZULU KAMATI YA VIWANDA
MAJALIWA ASHIRIKI UZINDUZI WA JUKWAA LA UCHUMI LA AFRICA MJINI PORT LOUIS- MAURITIUS



JAMHURI  YA  MUUNGANO  WA  TANZANIA


Anuani ya Simu: “MAKAMU     Ofisi ya Makamu wa Rais,
Simu Na:  2116919     6 Barabara ya Albert uthuli,                                                                                                   
Fax Na:    2116990     S.L.P.  5380,
Unapojibu taja:     11406 Dar es Salaam


TAARIFA KWA UMMA


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe. Samia Suluhu Hassan amezitaka asasi za kiraia na madhehebu ya dini kuendelea kuongeza juhudi katika kuchangia masuala yanayohusiana na ukimwi katika maeneo yao ikiwemo kuhimiza maadaili na tabia njema katika jiamii.    
Makamu wa Rais aliyasema haya wakati wa maadhimisho  ya siku ya Ukimwi Duniani ambayo Kitaifa yamefanyika jijini Dar es Salaam.


Makamu wa Rais alisema kuwa kila mtu anapaswa kukumbuka kuwa jukumu kuu la kujikinga na maambukizi mapya ya virusi vya ukimwi linaanza na mtu binafsi, jamii na hatimaye sote kama nchi.
“Ndugu Wananchi Ukimwi umeendelea kuathiri nguvu kazi ya Taifa, wafanyakazi wa taasisi za serikali na zisizo za serikali wanapata maambukizi kama wana jamii wengine hii inapelekea kupungua kwa ufanisi makazini na kuathiri uchumi kwa ujumla”


Makamu wa Rais amezipongeza Taasisi zote ambazo zina mikakati ya kupambana na ukimwi mahala pakazi kwa kuwakinga wafanyakazi wao na pia kuwahudumia bila kuwabagua wala kuwanyanyapaa wale wanaoishi na virusi vya ukimwi.
Makamu wa Rais alisema Serikali ina nia thabiti ya kutafuta mikakati endelevu ya kufikia TISINI TATU ifikapo mwaka 2020 na kumaliza kabisa ukimwi ifikapo 3030.


Makamu wa Rais alisisitiza kuwa Serikali inaendelea na juhudi za kuimarisha miundo mbinu ya afya na kutoa mafunzo kwa wataalam wa afya ikiwa ni pamoja na kuongeza watoa huduma kote nchini.


Makamu wa Rais amesema Serikali imeanzisha mfuko wa ukimwi (AIDS TRUST FUND) ukiwa na lengo la kuboresha rasilimali kwa ajili ya kuboresha huduma za ukimwi yakiwemo matibabu, upimaji wa virusi vya ukimwi na kutokomeza maambukizi kutoka kwa mama kwenda kwa motto pamoja, kuhudumia watoto yatima na ujenzi wa vituo vya kutolea elimu ya ukimwi hivyo uwepo wa mfuko huu utapunguza utegemezi  na kuongeza kasi na ufanisi katika mapambano dhidi ya ukimwi.


Makamu wa Rais alihimiza elimu ya ukimwi itolewe mashuleni ili vijana wawe na ufahamu wa kutosha .
Makamu wa Rais alimaliza kwa kuwapongeza UNAIDS na wadau wote wanaoshiriki katika mapambano dhidi ya ukimwi na kuwahakikishia serikali ipo pamoja nao.


Imetolewa na:
Ofisi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ikulu- Dar es Salaam


01 Desemba, 2017.

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MAKAMU WA RAIS AHIMIZA MAADILI NA TABIA NJEMA SIKU YA UKIMWI DUNIANI
MAKAMU WA RAIS AHIMIZA MAADILI NA TABIA NJEMA SIKU YA UKIMWI DUNIANI
https://i.ytimg.com/vi/D0_KTxVQYHQ/hqdefault.jpg
https://i.ytimg.com/vi/D0_KTxVQYHQ/default.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/12/makamu-wa-rais-ahimiza-maadili-na-tabia.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/12/makamu-wa-rais-ahimiza-maadili-na-tabia.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy