IGP SIRRO AONGOZA HARAMBEE YA KUCHANGIA UKARABATI WA MAKAZI YA ASKARI MKOANI MOROGORO
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, akisalimiana na maofisa wa Jeshi hilo alipowasili mkoani Morogoro, kwa ajili ya kushiriki harambee ya kuchangia ukarabati wa nyumba za askari wa Jeshi hilo, ambapo harambee hiyo iliwashirikisha wadau mbalimbali wa maendeleo wakiwemo wanasiasa na wafanyabiashara mbalimbali wa mkoa wa Morogoro. Picha na Jeshi la Polisi.
HomeJamii

IGP SIRRO AONGOZA HARAMBEE YA KUCHANGIA UKARABATI WA MAKAZI YA ASKARI MKOANI MOROGORO

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, akisalimiana na maofisa wa Jeshi hilo alipowasili mkoani Morogoro, kwa ajili ya kushirik...

NAIBU WAZIRI KWANDIKWA AFANYA ZIARA UJENZI WA BARABARA YA JUU TAZARA
KUMBUKUMBU YA MIAKA 18 YA KIFO CHA HAYATI MWALIMU KAMBARAGE NYERERE..
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUAHIRISHWA KWA MNADA WA TANZANITE

Mkuu wa mkoa wa Morogoro, Dkt. Kebwe stephen Kebwe (wa pili Kulia), akifuatiwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, wakimsikiliza kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro SACP Ulrich Matei (aliyesimama), akitoa neno wakati wa harambee ya kuchangia ukarabati wa nyumba za askari wa Jeshi hilo mkoani humo, harambee ambayo iliwashirikisha wadau mbalimbali wa maendeleo wakiwemo wanasiasa na wafanyabiashara mbalimbali wa mkoa wa Morogoro.

Mkuu wa mkoa wa Morogoro, Dkt. Kebwe stephen Kebwe (aliyesimama), akitoa neno mbele ya wanasiasa na wafanyabiashara mbalimbali pamoja na wadau wa maendeleo (hawapo pichani) wakati wa harambee ya kuchangia ukarabati wa nyumba za askari wa Jeshi hilo mkoani humo ilikutoa makazi salama kwa askari.

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: IGP SIRRO AONGOZA HARAMBEE YA KUCHANGIA UKARABATI WA MAKAZI YA ASKARI MKOANI MOROGORO
IGP SIRRO AONGOZA HARAMBEE YA KUCHANGIA UKARABATI WA MAKAZI YA ASKARI MKOANI MOROGORO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjkPDe40MN1KEA_Css6sabkHuaLgPk7TrrnPRVvFMVoGoBFsXWsX2OLH38G1irY0BmuUU7UJXoY0qGeUAZrI0m7l-9-64Hu5h3t4isr1DZfqq76y_XjMWSRIWUg1znJnioo6ydlUODmGDQ/s640/1+%25282%2529.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjkPDe40MN1KEA_Css6sabkHuaLgPk7TrrnPRVvFMVoGoBFsXWsX2OLH38G1irY0BmuUU7UJXoY0qGeUAZrI0m7l-9-64Hu5h3t4isr1DZfqq76y_XjMWSRIWUg1znJnioo6ydlUODmGDQ/s72-c/1+%25282%2529.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/12/igp-sirro-aongoza-harambee-ya-kuchangia.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/12/igp-sirro-aongoza-harambee-ya-kuchangia.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy