RAIS DKT MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA MADARAJA YA JUU YA BARABARA YA TAZARA NA UBUNGO JIJINI DAR ES SALAAM
HomeJamii

RAIS DKT MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA MADARAJA YA JUU YA BARABARA YA TAZARA NA UBUNGO JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua maendeleo ya ujenzi wa daraja la juu (Fly Over) eneo la TAZARA j...

MO DEWJI AAHIDI KUONGEZA IDADI YA WANAFUNZI WANAOPATA UFADHILI WA TAASISI YAKE
AWESO AHAIDI NEEMA KWA WAKANDARASI WA MAJI WAAMINIFU
MUHIMBILI: WATOTO 6 WAWASHIWA VIFAA VYA USIKIVU (COCHLEAR IMPLANT)




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua maendeleo ya ujenzi wa daraja la juu (Fly Over) eneo la TAZARA jijini Dar es salaam akiwa ameongozana na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda mara tu baada ya kuwasili kutokea kijijini kwake Chato mkoani Geita leo Jumatano Novemba 15, 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa maagizo ya kuvunjwa kwa sehemu ya majengo ya TANESCO (pichani nyuma) na la Wizara ya Maji ili kupisha ujenzi wa miundombinu baada ya kukagua maandalizi ya ujenzi wa daraja la ghorofa tatu la Ubungo (Ubungo Interchange) jijini Dar es Salaam akiwa ameongozana na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda mara tu baada ya kuwasili kutokea kijijini kwake Chato mkoani Geita leo Jumatano Novemba 15, 2017.



Wananchi wakimshangilia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati akitoa maagizo baada ya kukagua maandalizi ya ujenzi wa daraja la ghorofa tatu la Ubungo (Ubungo Interchange) jijini Dar es salaam akiwa ameongozana na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda mara tu baada ya kuwasili kutokea kijijini kwake Chato mkoani Geita leo Jumatano Novemba 15, 2017.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza mwananchi Bi. Nyangoma James akieleza matatizo yake baada ya kukagua maandalizi ya ujenzi wa daraja la ghorofa tatu la Ubungo (Ubungo Interchange) jijini Dar es salaam akiwa ameongozana na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda mara tu baada ya kuwasili kutokea kijijini kwake Chato mkoani Geita leo Jumatano Novemba 15, 2017.





Taswira za maendeleo ya ujenzi wa daraja la juu (Fly Over) eneo la TAZARA jijini Dar es salaam kama lilivyo leo Jumatano Novemba 15, 2017. (Picha na IKULU)
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: RAIS DKT MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA MADARAJA YA JUU YA BARABARA YA TAZARA NA UBUNGO JIJINI DAR ES SALAAM
RAIS DKT MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA MADARAJA YA JUU YA BARABARA YA TAZARA NA UBUNGO JIJINI DAR ES SALAAM
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh4D9teOqY3uzoCWl1G2-VBTrfQwFEbqe_7pEpnGkCZBNS9-RzkG7D5ERXzIiCYU3HV6UJcZPuq3MLCNfG7k2WF4ErRa7xuwJhPBVLhMTn0fCEZ-t7LhG3dsOdNTUjy5UELp-wwqTD0IcwC/s640/t+%252801%2529.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh4D9teOqY3uzoCWl1G2-VBTrfQwFEbqe_7pEpnGkCZBNS9-RzkG7D5ERXzIiCYU3HV6UJcZPuq3MLCNfG7k2WF4ErRa7xuwJhPBVLhMTn0fCEZ-t7LhG3dsOdNTUjy5UELp-wwqTD0IcwC/s72-c/t+%252801%2529.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/11/rais-dkt-magufuli-akagua-ujenzi-wa.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/11/rais-dkt-magufuli-akagua-ujenzi-wa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy