NAIBU WAZIRI NDUNGULILE: TUAMSHE ARI YA WANANCHI KUSHIRIKI KAZI ZA MAENDELEO.

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,  Jinsia , Wazee na Watoto Mhe. Dkt Faustine Ndugulile akitoa maelekezo kwa watendaji wa I...






Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt Faustine Ndugulile akitoa maelekezo kwa watendaji wa Idara Kuu Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto wakati alipotembelea Ofisi za Wizara zilizopo UDOM Dodoma.

Na Kitengo cha Mawasilia WAMJW

Naibu Waziri  Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Faustine Ndungulile amewataka watendaji wa Idara kuu ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kuwa na mkakati wa kuamsha ari ya wananchi kushiriki katika kazi za maendeleo yao.

Mhe. Dkt. Ndungulile ametoa kauli hiyo mjini Dodoma alipotembelea katika Ofisi ya Wizara yake iliyoko Chuo Kikuu cha Dodoma na kuzungumza na wajumbe wa Menejimenti ya Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto.

Mhe. Dkt Ndugulile  ameshauri Wizara kuendeleza jukumu lake walilolianza la kuhamasisha jamii kuchangia kazi za maendeleo ili kupunguza kiwango cha utegemezi katika kutatua changamoto zilizopo.

“Niwapongeze kwa juhudi mnazozionesha za kuhamasisha wananchi kufanya kazi za kujiletea maendeleo” alisema Mhe. Dkt Ndugulile

Aidha Mhe. Dkt Ndungulile amempongeza Katibu Mkuu Bibi Sihaba Nkinga kutokana na utendaji kazi wa Idara Kuu ya Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na watoto.
Naibu Waziri pia amehimiza Wizara kuendelea kuboresha huduma zinazotolewa kwa wazee na watoto walioko katika mazingira hatarishi, ili kuweka mazingira salama na rafiki kwa wazee na watoto wote wanaohitaji huduma maalum.

Kwa upande wake Katibu Mkuu IdaraKuu Maendeleo ya jamii, Jinisa, Wazee na Watoto Bibi Sihaba Nkinga amepongeza Naibu Waziri Dkt Ndugulile na kumhakikishia ushirikiano katika kutekeleza majukumu ya Wizara.

Naibu Waziri Mhe.Dkt. Faustine Ndungulile ametembelea Ofizi za Wizara zilizopo Makao Mkuu Dodoma ikiwa ni siku chache tangu kuapishwa kushika wadhifa huo.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: NAIBU WAZIRI NDUNGULILE: TUAMSHE ARI YA WANANCHI KUSHIRIKI KAZI ZA MAENDELEO.
NAIBU WAZIRI NDUNGULILE: TUAMSHE ARI YA WANANCHI KUSHIRIKI KAZI ZA MAENDELEO.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjtOQQl8TBB2w8wIDNuObT0K_QD1glL-0z7AliiM1vU4UFhnVab9do6Ue8SzqFS8J_9CTdr-HvLxaO6vJRwUe63953vT37_yeary0qAvOR724WMWbL-zSP1cKvCKq-7AS7av3GpU_BXghs/s640/Pix+6.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjtOQQl8TBB2w8wIDNuObT0K_QD1glL-0z7AliiM1vU4UFhnVab9do6Ue8SzqFS8J_9CTdr-HvLxaO6vJRwUe63953vT37_yeary0qAvOR724WMWbL-zSP1cKvCKq-7AS7av3GpU_BXghs/s72-c/Pix+6.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/11/naibu-waziri-ndungulile-tuamshe-ari-ya.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/11/naibu-waziri-ndungulile-tuamshe-ari-ya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy