Mstahiki Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita akijadiliana jambo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Profesa Kitila Mkumbo,walipokutana l...
Mstahiki Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita akijadiliana jambo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Profesa Kitila Mkumbo,walipokutana leo katika tamasha la maadhimisho ya miaka 500 ya kanisa la KKKT lililofanyika katika Uwanja wa Taifa. Kulia ni Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye .

Mstahiki Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita akimsisitizia jambo Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Profesa Kitila Mkumbo walipokutana kwenye Tamasha la maadhimisho ya miaka 500 ya Kanisa la KKKT lililofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini hapa.
COMMENTS