MAJI MAREFU ASIFU JUHUDI ZA SERIKALI YA JPM KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA NCHINI Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Stephen ...
MAJI MAREFU ASIFU JUHUDI ZA SERIKALI YA JPM KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA NCHINI
Mbunge wa Jimbo la Korogwe
Vijijini (CCM) Stephen Ngonyani Alimaarufu Proffesa Maji Marefu
akimkabidhi Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya cha Mombo mashuka kwa
niaba ya Vituo vya Afya vyengine kwenye halfa iliyofanyika ukumbi wa
Halmashauri Korogwe Vijijini kulia ni Mganga Mkuu wa wilaya ya
Korogwe,Dkt Frank Chiduo na kushoto ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya
Korogwe Vijijini

Vijijini (CCM) Stephen
Ngonyani Alimaarufu Proffesa Maji Marefu akimkabidhi Mganga Mfawidhi wa
Kituo cha Afya cha Mombo mashuka kwa niaba ya Vituo vya Afya vyengine
kwenye halfa iliyofanyika ukumbi wa Halmashauri Korogwe Vijijini kulia
ni Mganga Mkuu wa wilaya ya Korogwe,Dkt Frank Chiduo na kushoto ni
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Korogwe Vijijini

Ngonyani Alimaarufu Proffesa Maji Marefu kulia akiteta jambo kabla ya
kukabidhi vitanda hivyo kuhusu umuhimu wa vifaa hivyo kutunza ili kuweza
kuwahudumia wananchi.

Ngonyani Alimaarufu Proffesa Maji Marefu akiingia kwenye hospitali ya
wilaya ya Korogwe Magunga kwa ajili ya kukabidhi vifaa tiba
vilivyotolewa na Serikali kushoto ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya
Korogwe Vijijini,John Nyarongo
Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Stephen Vijijini (CCM) Stephen
Ngonyani Alimaarufu Proffesa Maji Marefu akiingia kwenye hospitali ya
wilaya ya Korogwe Magunga kwa ajili ya kukabidhi vifaa tiba
vilivyotolewa na Serikali kushoto ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya
Korogwe Vijijini,John Nyarongo
Ngonyani Alimaarufu Proffesa Maji Marefu kulia akiteta jambo na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Korogwe Vijijini,John Nyarongo
Mganga Mkuu wa wilaya ya Korogwe,Dkt Frank Chiduo akizungumza na waandishi wa habari baada ya kupokea vifaa hivyo
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Korogwe Vijijini,John Nyarongo naye akizungumza katika halfa hiyo
Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Stephen Ngonyani Alimaarufu Proffesa Maji Marefu
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Korogwe Vijijini akizungumza na waandishi wa habari
MBUNGE wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) StephenNyong’ani alimaarufu Proffesa Maji Marefu alisifu juhudi za serikali ya awamu
ya tano chini ya Rais Dkt John Magufuli kuhakikisha wanazipatia ufumbuzi
changamoto za afya katika maeneo mbalimbali hapa nchini ili wananchi kupata
huduma bora
Proffesa Maji Marefu aliyasema hayo wakati
akikabidhi vifaa tiba kwa Halmashauri ya Korogwe Vijijini vilivyotolewa na
Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto kupitia Bohari ya
Madawa MSD wamewapatia vitanda vya kulalia wagonjwa,magodoro na mashuka vikiwa
na thamani zaidi ya sh.milioni 17.

Vifaa tiba hiyo kwa upande wa vitanda vya wagonjwa vitasambazwa
kwa baadhi ya vituo vya Afya na Zahanati zilizopo wilayani humo ambavyo ni
Magoma, Mombo, Bungu,Mazinde,Manka,Hale,Mashewa,Vugiri na Makumba

Kwa upande wa vitanda vya kuzalishia vitapelekwa kwenye
zahanati za Mandera,Kwemazandu,Lwengera,Mkomazi
na Makumba ambavyo vitasaidia kuondoa changamoto zilizokuwepo hapo
awali.

“Niwaambieni tu serikali yenu chini ya Rais Dkt John
Magufuli imejipanga vema kuhakikisha inatatua kwa vitendo changamoto mbalimbali
zinazowakabili wananchi ikiwemo ya huduma za afya na ndio maana leo hii
tunakabidhi vifaa hivi kwa lengo la kuboresha huduma hizo “Alisema.

Alisema vifaa hivyo vimefika wakati muafaka ambapo
vitasaidia kuondoa changamoto mbalimbali ambazo zilikuwepo ikiwemo
mashuka,magodoro na vitanda vitakavyosaidia kuhakikisha huduma zinazotolewa
vinakuwa bora.

“Ndugu zangu wananchi serikali ya awamu ya tano
chini ya Rais Magufuli imefanya mambo mengi makubwa likiwemo la kuhakikisha
wanaboresha huduma za Afya katika maeneo mbalimbali nchini hivyo tuendelea kumuombea mungu na kumuunga
mkono katika juhudi hizo “Alisema.

Awali akizungumza katika makabidhiano hayo,Mganga
Mkuu wa wilaya ya Korogwe (DMO) Dkt Frank Chiduo aliishukuru serikali kwa kuwapatia
msaada huo ambao umekuwa chachu ya ya kupunguza changamoto za upungufu wa vifaa
tiba kwenye wilaya hiyo kwa kuwapatia vifaa hivyo

Alisema halmashauri ya wilaya ina jumla ya hospitali
moja ,Vituo vya Afya vitatu na Zahanati arobaini na mbili zote zikiwa
zinamiliki wa na serikali .

“Lakini pia Halmashauri ina jumla ya vitanda 330 vya
kulala wagonjwa pamoja na magodoro,shuka 624 kati ya shuka hizo 1320
zinahitajika ,vitanda 61 vya kujifungulia katika vituo vyote hivyo kukidhi
mahitaji yaliyopo kwa sasa “Alisema.

“Pia kati ya magodoro yaliyopo 80 yemachakaa na
yanahitaji kubadilishwa hivyo kuwa na upungufu wa shuka 690 na godoro 80 “Alisema.

Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha.
COMMENTS