MATUKIO BUNGENI MJINI DODOMA NOVEMBA 8, 2017
HomeJamii

MATUKIO BUNGENI MJINI DODOMA NOVEMBA 8, 2017

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri , Sera,  Bunge , Kazi, Vijana , Ajira na Wenye Ulemav...

SPIKA MSTAAFU ANNE MAKINDA AWAASA MADIWANI WANAWAKE WA JIJI LA DAR KUJITAMBUA KATIKA JAMII
UPDATES; MSIBA WA MBUNGE MSTAAFU WA JIMBO LA MOSHI MJINI PHILEMONI NDESAMBURO.
SALAMU ZA RAMBIRAMBI ZA SKPIKA NDUGAI KWA MSIBA WA MHE. NDESAMBURO


 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri , Sera, Bunge, Kazi, Vijana , Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, Bungeni Mjini Dodoma Novemba 8,2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijadili jambo na Mbunge wa Viti Maalumu (Chadema) Mkoa wa Geita, Upendo Peneza, Bungeni Mjini Dodoma Novemba 8,2017.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahi jambo na Mbunge wa Ulanga Goodluck Mlinga, Bungeni Mjini Dodoma Novemba 8,2017.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Naibu Waziri Wizara ya Nishati Mhe.Subira Mgalu akijibu hoja mbalimbali za wabunge wakati wa kikao cha pili cha Mkutano wa tisa wa Bunge leo Novemba 8, 2017 Mjini Dodoma.


Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe.Kangi Lugora akijibu hoja mbalimbali za wabunge wakati wa kikao cha pili cha Mkutano wa tisa wa Bunge leo Mjini Dodoma.


Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Wenye ulemavu akiwasilisha Taarifa ya Mwaka ya Chuo kikuu cha Dodoma kwa mwaka 2015/2016 kwa niaba ya Waziri wa Elimu ,Sayansi na Teknolojia wakati wa kikao cha pili cha Mkutano wa tisa wa Bunge leo Mjini Dodoma.




Mbunge wa Viti Maalum(CCM) Dk.Christine Ishengoma akiuliza swali wakati wa kikao cha pili cha Mkutano wa tisa wa Bunge leo Mjini Dodoma.




Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu(watu wenye Ulemavu) Mhe. Stella Ikupa akijibu hoja mbalimbali za wabunge wakati wa kikao cha pili cha Mkutano wa tisa wa Bunge leo Mjini Dodoma.




Naibu Waziri wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji Mhe.Juma Aweso akitolea ufafanuzi hoja mbalimbali za wabunge wakati wa kikao cha pili cha Mkutano wa tisa wa Bunge leo Mjini Dodoma.




Naibu Waziri wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Mhe.Abdalah Ulega akiotolea ufafanuzi maswali ya wabunge wakati wa kikao cha pili cha Mkutano wa tisa wa Bunge leo Mjini Dodoma.




Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akimsikiliza Mbunge wa Nchemba Mhe.Juma Nkamia wakati wa kikao cha pili cha Mkutano wa tisa wa Bunge leo Mjini Dodoma.


Mweyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Azzan Zungu akisoma dua ya kuiombea nchi na Bunge wakati wa kikao cha pili cha Mkutano wa tisa wa Bunge leo Mjini Dodoma.

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MATUKIO BUNGENI MJINI DODOMA NOVEMBA 8, 2017
MATUKIO BUNGENI MJINI DODOMA NOVEMBA 8, 2017
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjOzyG90nN3eEL4E3VNhF5-VgcMTSZkrncRXPjklUHC8OmPUSigDrcDNExfaJZrEexiVeMlU_5asAZHrBiYlGq3PgGZZG6ewRxBDqiI9T6DSk6ySb3w5b3QQnQhG4NK9G05-PDOrBByHNm9/s640/PMO_7216.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjOzyG90nN3eEL4E3VNhF5-VgcMTSZkrncRXPjklUHC8OmPUSigDrcDNExfaJZrEexiVeMlU_5asAZHrBiYlGq3PgGZZG6ewRxBDqiI9T6DSk6ySb3w5b3QQnQhG4NK9G05-PDOrBByHNm9/s72-c/PMO_7216.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/11/matukio-bungeni-mjini-dodoma-novemba-8.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/11/matukio-bungeni-mjini-dodoma-novemba-8.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy