KAMISHNA UHAMIAJI ZANZIBAR AFANYA ZIARA OFISI YA UHAMIAJI MKOA WA KUSINI UNGUJA
HomeJamii

KAMISHNA UHAMIAJI ZANZIBAR AFANYA ZIARA OFISI YA UHAMIAJI MKOA WA KUSINI UNGUJA

  Afisa Uhamiaji Wilaya ya Kusini Mkaguzi Msaidizi    wa Uhamiaji, Kheri Shabani akitoa mkono wa salamu kwa Kamishna wa Uhamiaji Za...

RAIS MAGUFULI AITAKA MAHAKAMA KUFUATILIA MADENI YA KESI SERIKALI ILIZOSHINDA
TRA YATOA WITO KWA WALIOCHELEWA KUHAKIKI TIN, YATAJA MIKOA INAYOFUATA KWA UHAKIKI
TAARIFA YA SERIKALI KUTOKA BUNGENI LEO 02/02/2017



 Afisa Uhamiaji Wilaya ya Kusini Mkaguzi Msaidizi  wa Uhamiaji, Kheri Shabani akitoa mkono wa salamu kwa Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Johari Masoud Sururu, wakati alipowasili kwenye Jengo la Ofisi ya Uhamiaji Mkoa wa Kusini Unguja, alipofanya ziara ya kikazi Mkoani humo,   tarehe 21 - 22 Novemba, 2017. 



Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Johari Masoud Sururu, akitia saini kitabu cha wageni, mara tu alipowasili Ofisi ya Uhamiaji Mkoa wa Kusini Unguja, ikiwa ni mwendelezo wa ziara ya kikazi Mkoani humo, Leo tarehe 22 Novemba, 2017. Kushoto ni Afisa Uhamiaji Mkoa, Naibu Kamishna wa Uhamiaji, Mkemimi Mohamed Mhina.

 Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji, Khamis Ali Juma akitoa maoni juu ya changamoto wanazokabiliana nazo katika eneo la uendeshaji wa mashtaka ya Kiuhamiaji, wakati wa kikao cha pamoja cha Wafanyakazi wa Mkoa wa Kusini Unguja na Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Johari Masoud Sururu, wakati alipofanya ziara ya kikazi Mkoani humo, tarehe 21 - 22 Novemba, 2017.

 Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Johari Masoud Sururu, Akijibu hoja mbali mbali zilizowasilishwa na watumishi wa Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Kusini Unguja (hawapo pichani), wakati alipofanya ziara ya kikazi Mkoani humo, tarehe 21 - 22 Novemba, 2017.  Kushoto ni Afisa Utumishi Mkuu, Naibu Kamishna wa Uhamiaji, Abdullah Mbarouk Ramsa.

 Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Johari Masoud Sururu (kati kati), akifatilia kwa makini majadiliano katika kikao cha pamoja na watumishi wa Ofisi ya Uhamiaji Mkoa wa Kusini Unguja (hawapo pichani), wakati alipofanya ziara ya kikazi Mkoani humo, tarehe 21 - 22 Novemba, 2017.  Kulia ni Afisa Uhamiaji Mkoa, Naibu Kamishna wa Uhamiaji, Mkemimi Mohamed Mhina na Kushoto ni Afisa Utumishi Mkuu, Naibu Kamishna wa Uhamiaji, Abdullah Mbarouk Ramsa.
  Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Johari Masoud Sururu, akielezea jinsi Idara ya Uhamiaji inavyopiga hatua katika kutatua changamoto ya Makaazi ya Askari wake katika Wilaya zote Unguja na Pemba. Aliayasema hayo wakati akikagua nyumba za Watumishi wa Uhamiaji iliyopo Makunduchi, Wilaya ya Kusini, wakati wa ziara ya kikazi Mkoa wa Kusini Unguja iliyofanyika tarehe 21 - 22 Novemba, 2017
 Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Johari Masoud Sururu, akielezea jinsi Idara ya Uhamiaji inavyopiga hatua katika kutatua changamoto ya Makaazi ya Askari wake katika Wilaya zote Unguja na Pemba. Aliayasema hayo wakati akikagua nyumba za Watumishi wa Uhamiaji iliyopo Makunduchi, Wilaya ya Kusini, wakati wa ziara ya kikazi Mkoa wa Kusini Unguja iliyofanyika tarehe 21 - 22 Novemba, 2017. 


 Maafisa waandamizi wa Idara ya Uhamiaji Zanzibar, wakiambatana na Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Johari Masoud Sururu (katikati), wakati alipofanya ziara ya kikazi Wilaya ya Kati na Kusini, Mkoa wa Kusini Unguja tarehe 21 - 22 Novemba, 2017, wakipokea taarifa kuhusu mkakati wa kuboresha Ofisi na Makaazi ya Askari wa Uhamiaji, Mkoani humo. Ziara hiyo ililenga kukagua Miradi ya Idara pamoja na Viwanja vilivyopo Mkoani wa Kusini Unguja. Ikiwa ni hatua muhimu katika kutanua wigo wa utoaji huduma mbali mbali za Uhamiaji kwa Wilaya zote za Unguja na Pemba. Hatua hiyo ni utekelezaji wa ahadi za Serikali kuwafikishia wananchi wake huduma katika maeneo wanayoishi

Imetolewa na: (KITENGO CHA UHUSIANO, OFISI KUU YA UHAMIAJI ZANZIBAR)

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: KAMISHNA UHAMIAJI ZANZIBAR AFANYA ZIARA OFISI YA UHAMIAJI MKOA WA KUSINI UNGUJA
KAMISHNA UHAMIAJI ZANZIBAR AFANYA ZIARA OFISI YA UHAMIAJI MKOA WA KUSINI UNGUJA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjZMb_EtZ1eWWiWpavFMRrKPoxnJ0-zqyakcbJl_wcxLYLTjkkkpksbOzRhXdRZ9K1aa8VrJTVgT7Ozd8tnSxi2YjfmFaVBDcJkBjbUEmBfidZt4kxT3jcXsOXTPQx3pV_q94vUnsZaJY4/s640/uham5.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjZMb_EtZ1eWWiWpavFMRrKPoxnJ0-zqyakcbJl_wcxLYLTjkkkpksbOzRhXdRZ9K1aa8VrJTVgT7Ozd8tnSxi2YjfmFaVBDcJkBjbUEmBfidZt4kxT3jcXsOXTPQx3pV_q94vUnsZaJY4/s72-c/uham5.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/11/kamishna-uhamiaji-zanzibar-afanya-ziara.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/11/kamishna-uhamiaji-zanzibar-afanya-ziara.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy