WAJUMBE WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI WAKUTANA NA REA NA WAZIRI WA NISHATI
HomeJamii

WAJUMBE WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI WAKUTANA NA REA NA WAZIRI WA NISHATI

Mjumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini na Mbunge wa Viti Maalum, Mheshimiwa Kiza Mayeye (katikati)akizungumza katika kikao...

WAZIRI MKUU ABAINI MADUDU ZAIDI BODI YA WETCU
RAIS DKT MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA PASAKA KANISA LA MTAKATIFU PETRO OYSTERBAY JIJINI DAR ES SALAAM
BONDE LA NGORONGORO LaPATA UMAARUFU ZAIDI BAADA YA CLOUDS 360 KURUSHWA MUBASHARA KUTOKA ENEO LA MITI MITATU






Mjumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini na Mbunge wa Viti Maalum, Mheshimiwa Kiza Mayeye (katikati)akizungumza katika kikao cha pamoja baina ya wajumbe wa kamati hiyo na watendaji kutoka Wizara ya nishati walioongozwa na Waziri wa nishati, Mheshimiwa, Medard Kalemani wakati wa kupokea na kujadili Taarifa kuhusu upatikanaji/ukusanyaji wa fedha za miradi ya REA katika kipindi cha robo mwaka kilichofanyika leo Mjini Dodoma. Wengine ni Wajumbe wa kamati hiyo, Mbunge wa kinondoni Mheshimiwa, Maulid Mtulia (kushoto) na Mbunge wa Bukoba Mjini Mheshimiwa, Wilfred Lwakatare (kulia).





Waziri wa Nishati, Mheshimiwa Medard Kalemani (aliesimama) akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini wakati wa kupokea na kujadili Taarifa kuhusu upatikanaji/ukusanyaji wa fedha za miradi ya REA katika kipindi cha robo mwaka katika kikao kilichofanyika leo Mjini Dodoma.


Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Mheshimiwa Dotto Biteko akiongoza kikao cha pamoja baina ya wajumbe wa kamati hiyo na watendaji kutoka Wizara ya nishati walioongozwa na Waziri wa nishati, Mheshimiwa, Medard Kalemani wakati wa kupokea na kujadili Taarifa kuhusu upatikanaji/ukusanyaji wa fedha za miradi ya REA katika kipindi cha robo mwaka kilichofanyika leo Mjini Dodoma.

Mkurugenzi Mkuu wa REA, Mhandisi Boniface Gissima (aliesimama) akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini wakati wa kupokea na kujadili Taarifa kuhusu upatikanaji/ukusanyaji wa fedha za miradi ya REA katika kipindi cha robo mwaka katika kikao kilichofanyika leo Mjini Dodoma.

Mjumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini na Mbunge wa karagwe, Mheshimiwa Innocent Bashungwa (katikati)akizungumza katika kikao cha pamoja baina ya wajumbe wa kamati hiyo na watendaji kutoka Wizara ya nishati walioongozwa na Waziri wa nishati, Mheshimiwa, Medard Kalemani wakati wa kupokea na kujadili Taarifa kuhusu upatikanaji/ukusanyaji wa fedha za miradi ya REA katika kipindi cha robo mwaka kilichofanyika leo Mjini Dodoma. Wengine ni Wajumbe wa kamati hiyo, Mbunge wa Chonga Mheshimiwa, Juma khatib (kushoto) na Mbunge wa Musoma Mjini Mheshimiwa,Vedastus Manyinyi (kulia). (PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WAJUMBE WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI WAKUTANA NA REA NA WAZIRI WA NISHATI
WAJUMBE WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI WAKUTANA NA REA NA WAZIRI WA NISHATI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhbalr-tp5S0Rqhb-5-36paNwHhZ23x-WCF32ftGt7oosTNLmIh2skTR7twd33HAKQ8BG39DUh8AWfwiAxPNOtHekgg1-egapqwQ_dCLpsL7x5nPRUKZHX_sN1QIktaybJfTcRbe_WeWQF7/s640/IMGL9187.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhbalr-tp5S0Rqhb-5-36paNwHhZ23x-WCF32ftGt7oosTNLmIh2skTR7twd33HAKQ8BG39DUh8AWfwiAxPNOtHekgg1-egapqwQ_dCLpsL7x5nPRUKZHX_sN1QIktaybJfTcRbe_WeWQF7/s72-c/IMGL9187.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/10/wajumbe-wa-kamati-ya-kudumu-ya-bunge-ya.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/10/wajumbe-wa-kamati-ya-kudumu-ya-bunge-ya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy