Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya simu za mkononi ya Tigo , Simon Karikari akichangia mada wakati wa mkutano wa kutangaza matoke...
 |
Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya simu za mkononi ya Tigo, Simon Karikari akichangia mada wakati wa mkutano wa kutangaza matokeo yamakampuni 100 yanayoibukia katika uwekezaji nchini, ambapo zawadi kwa washindi zilitolewa mwishoni wa wiki hii jijini Dar es Salaam, kushoto ni mkurugenzi wa 361 Degrees Mustafa Hassanali. |
 |
Washiriki wa mkutano wa kutangaza matokeo yamakampuni 100 yanayoibukia katika uwekezaji nchini wakifurahia jambo , ambapo zawadi kwa washindi zilitolewa mwishoni wa wiki hii jijini Dar es Salaam. |
 |
Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya simu za mkononi ya Tigo, Simon Karikari (Kulia) akichangia mada wakati wa mkutano wa kutangaza matokeo yamakampuni 100 yanayoibukia katika uwekezaji nchini, ambapo zawadi kwa washindi zilitolewa mwishoni wa wiki hii jijini Dar es Salaam. Katikati ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Profesa Adolf Mkenda, Mkurugenzi wa 361 Degrees Mustafa Hassanali (wa pili kulia) na watoa mada wengine. |
|
|
 |
Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya simu za mkononi ya Tigo, Simon Karikari akifurahi jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Bank M, Jaqueiline Woiso wadhanini wakuu wa mkutano wa kutangaza matokeo ya makampuni 100 yanayoibukia katika uwekezaji nchini, ambapo zawadi kwa washindi zilitolewa mwishoni wa wiki hii jijini Dar es Salaam. |
COMMENTS