Mmoja wa wateja wa TIB corporate Bi Irene Kiwia akikata keki kwa niaba ya wateja wengine ikiwa na ishara ya undugu na upendo katika b...
 |
Mmoja wa wateja wa TIB corporate Bi Irene Kiwia akikata keki kwa niaba ya wateja wengine ikiwa na ishara ya undugu na upendo katika benki kujali wateja wao, pamoja naye ni mkurugenzi mkuu wa benki TIB CBL Bw. Frank Nyabundege (wa pili kushoto) na mkuu wa masoko Bi. Theresia Soka pamoja na wateja wengine Bw. Josam Mlaki (kulia) Dkt. Jim Yonazi, Mhariri Mtendaji wa TSN Ltd. (Imeandaliwa Robert Okanda Blogs)
|
 |
Mkurugenzi mkuu wa TIB Corporate Bank Bw. Frank Nyabundege akibadlishana mawazo na mmoja wa wateja, Jennifer Bash wakati wa hafla hiyo. |
 |
Mkurugenzi mkuu wa TIB Corporate Bank Bw. Frank Nyabundege amkimkaribisha na kumhudumia mmoja wawateja wa benki hiyo katika maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja. Pamoja naye ni mkurugenzi wa mikopo Bi. Adolphina William (Kushoto) na maafisa wa huduma kwa wateja Bi.Janeth Mwakilembe na Bi. Praise Eliya.
|
 |
Mkurugenzi wa mikopo wa TIB Corporate Bank Bi. Adolphina William na Mkurugenzi wa Majanga Bw. Fares Muganda (wa pili kulia) wakizungumza na wateja wa walioudhuria hafla fupi ya maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja.
|
 |
Mkurugenzi wa mikopo wa TIB Corporate Bank Bi. Adolphina William akimkabidhi zawadi Mmoja wa wateja wa Benki Ndg Gervas Mwangoka. Pamoja naye ni Bank Bw. Frank Nyabundege
|
 |
Mkuu wa Masoko Bi. Theresia Soka akiongea machache kuwakaribisha wateja wa Benki ya TIB Corporate katika hafla hiyo. |
 |
Meneja wa tawi la Samora Bw. Philipo Pilla akitoa neno la shukrani kwa wateja walioudhuria hafla fupi ya maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja.
|
 |
Mkurugenzi mkuu wa TIB Corporate Bank Bw. Frank Nyabundege (kulia) na Mkurugenzi wa Majanga Bw. Fares Muganda (wa pili kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na Dkt. Jim Yonazi, Mhariri Mtendaji wa TSN Ltd. |
COMMENTS