Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Seneta James Inhofe wa Baraza la Marekani na ujumbe wak...
 |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Seneta James Inhofe wa Baraza la Marekani na ujumbe wake walipomtembelea na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam Oktoba 11, 2017. |
 |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Mhe. Inmi Patterson aliyeongozana na Seneta James Inhofe wa Baraza la Marekani na ujumbe wake walipomtembelea na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 11, 2017.
|
 |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Seneta James Inhofe wa Baraza la Marekani na ujumbe wake walipomtembelea na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam Oktoba 11, 2017. |
 |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Mhe. Inmi Patterson aliyeongozana na Seneta James Inhofe wa Baraza la Marekani na ujumbe wake walipomtembelea na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 11, 2017. |
 |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Waziri wa Viwanda Biashara na uwekezaji Mhe. Charles Mwijage,Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt.Hamiss Kigwangala,Naibu Waziri wa Mambo ya nje Mhe. Suzane Kolimba wakiwa katika picha ya pamoja Maseneta wa Baraza la Marekani wakiongozwa na Seneta James Inhofe mara baada ya kufanya mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam Oktoba 11, 2017. (PICHA NA IKULU)
|
 |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza Seneta James Inhofe wa Baraza la Marekani baada ya kufanya naye mazungumzo na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 11, 2017.
|
 |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Seneta James Inhofe wa Baraza la Marekani na ujumbe wake walipomtembelea na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam Oktoba 11, 2017. |
COMMENTS