MAKAMU WA RAIS KUWA MGENI RASMI KWENYE MATEMBEZI YA HISANI JIJINI DAR ES SALAAM.
HomeJamii

MAKAMU WA RAIS KUWA MGENI RASMI KWENYE MATEMBEZI YA HISANI JIJINI DAR ES SALAAM.

Shirika la Amref Health Africa Tanzania kwa kushirikiana na Bank M, linawakaribisha wananchi wote kwenye Matembezi ya Hisani 2017 yana...

BREAKING NEWS; MUHINGO RWEYEMAMU HATUNAYE TENA
BURIAN ANATOLIA NSEKA KAPUMZIKE KWA AMANI MAMA YETU
SERIKALI YAONGEZA MUDA WA UHAKIKI WA NGO’s

Shirika la Amref Health Africa Tanzania kwa kushirikiana na Bank
M, linawakaribisha wananchi wote kwenye Matembezi ya Hisani 2017 yanayolenga
kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi, kwa kuwasomesha wauguzi wakunga ili kupata
ujuzi wa kutoa huduma bora wakati wa kujifungua. 

Matembezi hayo yatafanyika Novemba 04, 2017 katika Viwanja vya
Green Grounds Oysterbay Jijini Dar es Salaam, kuanzia saa kumi na mbili na nusu
mpaka saa nne asubuhi (12:30 – 4:00 asubuhi).

Mgeni Rasmi katika matembezi hayo anatarajiwa kuwa Makamu wa Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan ambapo
yanaambatana na kauli isemayo “Karibuni Tutembee Pamoja,  Tusomeshe Wauguzi  Wakunga Zaidi, kwa Uzazi Salama”.

Wananchi pamoja na wadau mbalimbali wanahimizwa kuungana na Amref katika
juhudi za kuongeza idadi ya wauguzi wakunga wenye ujuzi kwa kununua tiketi kwa shilingi
25,000 ambapo tiketi hiyo itaambatanishwa
na tisheti matembezi hayo.
Tayari tiketi zinapatikana katika ofisi za Amref zilizopo Upanga
karibu na ubalozi wa Japani Jijini Dar es salaam lakini pia waweza kupiga simu
nambari 0767 30 30 14 ama 0658 00 67 07 kwa ufafanuzi zaidi.

Aidha malipo kwa ajili ya kupata tiketi yanafanyika kupitia nambari ya M-PESA 0762  223  348 ama kupitia Bank Account nambari 02 50 02 73 31 BANK M

Tembelea ukurasa wa Facebook wa Amfref  https://www.facebook.com/AMREFHealthAfricaTZ/# ama tovuti www.amref.org kwa taarifa zaidi.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MAKAMU WA RAIS KUWA MGENI RASMI KWENYE MATEMBEZI YA HISANI JIJINI DAR ES SALAAM.
MAKAMU WA RAIS KUWA MGENI RASMI KWENYE MATEMBEZI YA HISANI JIJINI DAR ES SALAAM.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgt8OFZAVahXCO33SSAyg1ztEfVvZ3ToeSPlo1MiskFKdy6lHpF1Hqyb8UYvKyvhWuiD29xcjG175mdf-ULeAriu5DTBzJ05oUWWZlBFXIaW40fP6rZiodWxifNUEnXsmSIj6C0wAGa7Cc/s640/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgt8OFZAVahXCO33SSAyg1ztEfVvZ3ToeSPlo1MiskFKdy6lHpF1Hqyb8UYvKyvhWuiD29xcjG175mdf-ULeAriu5DTBzJ05oUWWZlBFXIaW40fP6rZiodWxifNUEnXsmSIj6C0wAGa7Cc/s72-c/1.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/10/makamu-wa-rais-kuwa-mgeni-rasmi-kwenye.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/10/makamu-wa-rais-kuwa-mgeni-rasmi-kwenye.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy