KAMPUNI YA TRUMARK YAHITIMU MAFUNZO YA UBORESHAJI UFANISI TOKA NETHERLANDS
HomeBiashara

KAMPUNI YA TRUMARK YAHITIMU MAFUNZO YA UBORESHAJI UFANISI TOKA NETHERLANDS

Picha ya pamoja ya wafanyakazi wa Kampuni ya Trumark mara baada ya kuhitimu mafunzo ya uboreshaji ufanisi toka Kampuni ya PUM ya nchini...





Picha ya pamoja ya wafanyakazi wa Kampuni ya Trumark mara baada ya kuhitimu mafunzo ya uboreshaji ufanisi toka Kampuni ya PUM ya nchini Netherlands. Mafunzo hayo yalitolewa kwa wafanyakazi wote wa Kampuni ya Trumark ili kuboresha ufanisi kikazi. Kulia anayemkabidhi ni Mkufunzi wa mafunzo hayo kutoka nchini Netherlands, Paulus Joseph Maria Jaspers.[/caption]



Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Trumark, Agnes Mgongo (katikati) akipiga picha jana na cheti maalumu kilichokabidhiwa kampuni hiyo mara baada ya wafanyakazi wake kuhitimu mafunzo ya uboreshaji ufanisi toka nchi ya Netherlands. Kulia ni Mkufunzi wa mafunzo hayo kutoka nchi ya Netherlands, Paulus Joseph Maria Jaspers pamoja na Mwakilishi wa PUM Tanzania, Deogratias Mbona (kushoto). Mmoja wa wafanyakazi wa Kampuni ya Trumark akipokea cheti baada ya kuhitimu mafunzo ya uboreshaji ufanisi toka Kampuni ya PUM ya nchini Netherlands. Kulia anayemkabidhi ni Mkufunzi wa mafunzo hayo kutoka nchini Netherlands, Paulus Joseph Maria Jaspers.[/caption]



Picha ya pamoja ya wafanyakazi wa Kampuni ya Trumark mara baada ya kuhitimu mafunzo hayo.
Picha ya pamoja ya wafanyakazi wa Kampuni ya Trumark wakiwa na Mkufunzi wa mafunzo hayo kutoka nchi ya Netherlands, Paulus Joseph Maria Jaspers na Mwakilishi wa PUM Tanzania, Deogratias Mbona wakiwa na vyeti vyao. Mmoja wa wafanyakazi wa Kampuni ya Trumark akipokea cheti baada ya kuhitimu mafunzo ya uboreshaji ufanisi toka Kampuni ya PUM ya nchini Netherlands. Kulia anayemkabidhi ni Mkufunzi wa mafunzo hayo kutoka nchini Netherlands, Paulus Joseph Maria Jaspers.


Mmoja wa wafanyakazi wa Kampuni ya Trumark akipokea cheti baada ya kuhitimu mafunzo ya uboreshaji ufanisi toka Kampuni ya PUM ya nchini Netherlands. Kulia anayemkabidhi ni Mkufunzi wa mafunzo hayo kutoka nchini Netherlands, Paulus Joseph Maria Jaspers. 

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: KAMPUNI YA TRUMARK YAHITIMU MAFUNZO YA UBORESHAJI UFANISI TOKA NETHERLANDS
KAMPUNI YA TRUMARK YAHITIMU MAFUNZO YA UBORESHAJI UFANISI TOKA NETHERLANDS
http://s3-us-west-2.amazonaws.com/thehabari.com/wp-content/uploads/2017/10/28142344/IMG_0316-500x481.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/10/kampuni-ya-trumark-yahitimu-mafunzo-ya.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/10/kampuni-ya-trumark-yahitimu-mafunzo-ya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy