AFISA ELIMU WA MKOA WA DAR AHIDI KUTATUA KERO ZINAZOWAKABILI WAMILIKI WA SHULE BINAFSI
HomeJamii

AFISA ELIMU WA MKOA WA DAR AHIDI KUTATUA KERO ZINAZOWAKABILI WAMILIKI WA SHULE BINAFSI

Afisa elimu wa mkoa wa Dar es salaam akizungumza na washiriki wa mkutano  uliowakutanisha wamiliki wa shule binafsi mkoa ...

BENKI YA DUNIA YAONESHA NIA KUSHIRIKI UJENZI RELI YA ISAKA-KIGALI
BUNGE LAPITISHA BILIONI 898 BAJETI YA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO.
MWILI WA MASOGANGE KUAGWA KESHO APRILI 22, 2018 LEADERS CLUB JIJINI DAR ES SALAAM




Afisa elimu wa mkoa wa Dar es salaam akizungumza na washiriki wa mkutano  uliowakutanisha wamiliki wa shule binafsi mkoa wa Dar es Salaam

Mwenyekiti wa chama cha wamiliki wa shule binafsi (TAMONGSCO), Charles Totela Akizungumza 

Miongoni mwa wamiliki wa shule binafsi pamoja na wawakilishi waliofika kwenye mkutano  huo 

                                                  
                                                        Na Michael Utouh


AFISA  Elimu wa Mkoa wa Dar es salaam Hamis  Lissu  ameahidi kutatua kero zote zinazowakabili baadhi ya wamiliki wa Shule Binafsiinafsi wa mkoa huo ikiwemo ya  tozo kubwa za biashara zinazotozwa shule hizo .

Pia amewaomba wamiliki wa shule hizo kipindi cha likizo wajitolee kuwafundisha masomo ya sayansi wanafunzi wanaotoka shule za serikali kwa kuwa wana walimu wengi wa masomo hayo.

Ameyasema hayo  leo alipokuwa akifungua Mkutano Maalumu uliowakutanisha wadau mbalimbali na wamiliki wa shule zilizopo mkoani humo.

Amesema wamiliki wa shule hizo pamoja na shule zao wanapaswa watambaue huduma wanazopewa  ni stahiki  hivyo ni sawa wanazopatiwa shule za Serikali.

“Natamani kuziona shule zote binafsi zikiwa zinazoongoza kutokuwa na changamaoto zozote kwani tunatambua mchango wa uwekezaji hapa nchini,” amesema.

Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Wamiliki wa Shule Binafsi nchini (TAMONGSCO), Charles Totela ameishukuru Serikali ya mkoa huo kwani imekuwa ikiwapa ushirikiano wa kutosha.

Mwenyekiti huyo ameiomba Serikali ya mkoa huo kuwaundia dawati la pamoja litakalowakutanisha viongozi wote wa shule binafsi, za serikali na watendaji wao ili waweze kukaa pamoja na kujadiliana baadhi ya changamoto ambazo zimekuwa hazifanyiwi kazi.

Naye Mkurugenzi wa Shule za Al-Muntazir,  Mahmood Ladack amewashukuru wamiliki wa shule hizo kwa kuhitisha mkuatano huo ambao anataraji utakuwa na manufaa makubwa kwao na taasisi wanazosimamia katika kupambana na changamoto mbalimbali zinazowakabili.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: AFISA ELIMU WA MKOA WA DAR AHIDI KUTATUA KERO ZINAZOWAKABILI WAMILIKI WA SHULE BINAFSI
AFISA ELIMU WA MKOA WA DAR AHIDI KUTATUA KERO ZINAZOWAKABILI WAMILIKI WA SHULE BINAFSI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjP-E4KDdXNNYDL2Gns9uuAVmqaKgdYNEGcU3B5c07yA1BSq3VfEC5VpP2MgQ0NLSCT4qUNh3xh7y5_fW6VebwEMYVr8YTCo04oz48n6DYFG3oGOPZDe4D-Oiq1Mmo14Na7DPJoOLy9Or0/s640/afisa+elimu+1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjP-E4KDdXNNYDL2Gns9uuAVmqaKgdYNEGcU3B5c07yA1BSq3VfEC5VpP2MgQ0NLSCT4qUNh3xh7y5_fW6VebwEMYVr8YTCo04oz48n6DYFG3oGOPZDe4D-Oiq1Mmo14Na7DPJoOLy9Or0/s72-c/afisa+elimu+1.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/10/afisa-elimu-wa-mkoa-wa-dar-ahidi.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/10/afisa-elimu-wa-mkoa-wa-dar-ahidi.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy