Kamera ya Blogs hii ilinasa matukio ya picha mbalimbali zionyeshazo hali ilivyo kwenye bonde la Jangwani na maji yayokayo mto Msimbazi yal...
Kamera ya Blogs hii ilinasa matukio ya picha mbalimbali zionyeshazo hali ilivyo kwenye bonde la Jangwani na maji yayokayo mto Msimbazi yaliyosababishwa na mvua zilizonyesha jijini kwa mfululizo Oktoba 26 na 27 2017. Athari za mvua hiyo ni pamoja na kumezwa kwa nyumba za wakazi waliogoma kuhama eneo la Jangwani na baadhi ya maeneo yaliyo jirani na mito licha ya serikali na manispaa za jiji kufanya jitihada za kuwahamisha kwa nguvu na hata mara kadhaa kutoa wito wahame kwa hiari bila mafanikio.
Chini ni picha mbalimbali zikionesha hali halisi ilivyo katika bonde la Jangwani.
![]() |
(Picha zote na Robert Okanda) |
COMMENTS