WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO ZANZIBAR, DK KHALID SALUM AFUNGUA MKUTANO WA 34TH WA NCHI ZA MASAHRIKI NA KUSINI WA AFRIKA ZANZIBAR
HomeJamii

WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO ZANZIBAR, DK KHALID SALUM AFUNGUA MKUTANO WA 34TH WA NCHI ZA MASAHRIKI NA KUSINI WA AFRIKA ZANZIBAR

Waziri wa Fedha na Mipango wa Zanzibar Dk Khalid Salum Mohammed akifungua Mkutano wa 34 wa Nchi za Mashariki na Kusini Mwa Afrika (17th...

PSPTB YAFUNGA MAFUNZO YA MANUNUZI TASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE
SERIKALI YATOLEA UFAFANUZI MADAI YA WALIMU, RIBA KUBWA KATIKA MABENKI
MAGARI MANNE YAGONGANA BARABARA YA NYERERE ENEO LA MTAVA JIJINI DAR ES SALAAM NA KUMJERUHI DEREVA TEKSI


Waziri wa Fedha na Mipango wa Zanzibar Dk Khalid Salum Mohammed akifungua Mkutano wa 34 wa Nchi za Mashariki na Kusini Mwa Afrika (17th ESAAMLG  Council of Ministers and 34th Task Force Senior Officials Meetings Zanzibar Beach Resort Zanzibar') kuhusiana na kudhubiti Utakasishaji wa Fedha Haramu kwa Nchi za Mashariki na Kusini Mwa Afrika unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar na kushirikisha Nchi 18 za ukanda huo Mkutano hu utakuwa wa Siku wa siku tano hadi tarehe 8 mwezi huu.

Waziri wa Fedha na Mipango akihutubia wakati wa ufunguzi wa mkutano huo wa kimataifa unaofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar na kuwashirikisha Wadau wa Nchi 18 za Mashariki na Kusini Mwa Afrika uliofunguliwa leo hadi tarehe 8/9/2017.
Viongozi wa meza kuu wakifuatilia hutuba ya Waziri wa Fedha na Mipango wa Zanzibar Dk Khalid Salum Mohammed akifungua mkutano huo katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar. 
Wajumbe wa mkutano huo kutoka Tanzania wakifuatilia ufunguzi huo wa Mkutano wa 34 wa ESAAMLG unaofanyika katka ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar. 
Mwenyekiti wa Kikosi Kazi Mirirai Chirambe akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano huo unaofanyika Zanzibar katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini.
Wajumbe wa Mkutano huo wakifuatilia hutuba ya ufunguzi ikitolewa na Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dk Khalid Salum Mohammed. 
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Nchini Lusotho Ms. Teboho Mukela akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano huo wa 34 wa Nchi za Mashariki na Kusini Mwa Afrika kuzungumzia mkakati wa kupiga vita Utakatishaji wa Fedha Haramu unaofanyika Zanzibar katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Resort Mazizini.
Katibu Mtendaji wa Taasisi ya Kupambana na Utakasishaji wa Fedha Haramu kwa Nchi za Mashariki na Kusini Mwa Afrika, Dr Elianonye Kisanga, akizungumza wakati wa mkutano huo unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar. unaowakilisha na Nchi 18 za ukanda huo. akitowa maelezo ya Ajenda ya mkutano huo kwa wajumbe baada ya kufunguliwa na Waziri wa Fedha na Mipango wa Zanzibar Dk Khalid Salum Mohammed.
Waziri wa Fedha na Mipango wa Zanzibar Dk Khalid Salum Mohammed akiwa na viongozi wa meza kuu wakifuatilia maelezo ya Katibu Mtendaji wa Taasisi hiyo Dr. Kisanga, akitowa maelezo baada ya uzinduzi huo.
Wajumbe wakifuatilia mkutano huo wakati wa ufunguzi wake. 










Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dk Khalid Salum Mohammed akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Mkutano huo nje ya ukumbi wa mkutano baada ya kuufungua leo asubuhi.
Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dk Khalid Salum Mohammed akizungumza na waandishi wa habari baada ya hafla ya ufunguzi wa mkutano huo unaofanyika katika ukumbi wa hoteli ya zanzibar beach resort mazizini zanzibar.
Katibu Mtendaji wa Taasisi ya Kudhibiti Utakasishaji wa Fedha Haramu kwa Nchi za Mashariki na Kusini Mwa Afrika Dkt. Kisanga akizungumza na waandishi wa habari madhumuhi wa mkutano huo na mikakati yake katika kudhibiti na kupambana na utakasishaji wa Fedha Haramu na udaidi.
(Imetayarishwa na OthmanMapara.Blogspot.com.
Email. othmanmaulid@gmail.com. Zanzinews.com)  
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO ZANZIBAR, DK KHALID SALUM AFUNGUA MKUTANO WA 34TH WA NCHI ZA MASAHRIKI NA KUSINI WA AFRIKA ZANZIBAR
WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO ZANZIBAR, DK KHALID SALUM AFUNGUA MKUTANO WA 34TH WA NCHI ZA MASAHRIKI NA KUSINI WA AFRIKA ZANZIBAR
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEijaLQry4OyQFa0T_rC5VAzHTUHhY277v-36RLGQFHqDRvqJxswR46TIxMnrfy8DGj7gM93chmi7ltKd6MR6rXXhxzx8SYRR0eylhklfRZ1n-HOH4ilnLd3qsNMAHzXKuxYdIwua27cPbA/s640/DSC_0066.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEijaLQry4OyQFa0T_rC5VAzHTUHhY277v-36RLGQFHqDRvqJxswR46TIxMnrfy8DGj7gM93chmi7ltKd6MR6rXXhxzx8SYRR0eylhklfRZ1n-HOH4ilnLd3qsNMAHzXKuxYdIwua27cPbA/s72-c/DSC_0066.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/09/waziri-wa-fedha-na-mipango-zanzibar-dk.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/09/waziri-wa-fedha-na-mipango-zanzibar-dk.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy