RAIS DKT. MAGUFULI ATOA RAMBIRAMBI MSIBA WA SHEHE SAAD ZUBEIR ALLY KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM
Msaidizi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Kanali Mkeremy akikabidhi Rambirambi (kwa niaba ya Mhe. Rais) kwa Mufti wa Tanzania Shekhe Aboubakar Zubeir ambaye amefiwa na Kaka yake Shekhe Saad Zubeiry Ally ambaye amefariki katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam.

HomeJamii

RAIS DKT. MAGUFULI ATOA RAMBIRAMBI MSIBA WA SHEHE SAAD ZUBEIR ALLY KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM

Msaidizi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Kanali Mkeremy akikabidhi Rambirambi (kwa niaba ya Mhe. Rai...

MAKAMU WA RAIS AWATEMBELEA MAJERUHI WA AJALI YA KARATU HOSPITALI
TAASISI YA MAMA'S & PAPA'S KUTOA TUZO KWA WANAOTHAMINI JAMII
MAPAMBANO YA DAWA ZA KULEVYA NA UVUVI HARAMU YASHIKA KASI WILAYANI NYAMAGANA

Msaidizi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Kanali Mkeremy akikabidhi Rambirambi (kwa niaba ya Mhe. Rais) kwa Mufti wa Tanzania Shekhe Aboubakar Zubeir ambaye amefiwa na Kaka yake Shekhe Saad Zubeiry Ally ambaye amefariki katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam.


Msaidizi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Kanali Mkeremy akizungumza jambo na Mufti wa Tanzania Shekhe Aboubakar Zubeir ambaye amefiwa na Kaka yake Shekhe Saad Zubeiry nyumbani kwa Marehemu Kinondoni Mtaa wa Ufipa jijini Dar es Salaam.  

Msaidizi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Kanali Mkeremy akizungumza jambo na Mufti wa Tanzania Shekhe Aboubakar Zubeir ambaye amefiwa na Kaka yake Shekhe Saad Zubeiry nyumbani kwa Marehemu Kinondoni Mtaa wa Ufipa jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Naibu Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Jaffar Haniu.



Msaidizi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Kanali Mkeremy akiagana na Shekhe wa mkoa wa Dar es Salaam Alhad Mussa Salum mara baada ya kuwasilisha Rambirambi kwa niaba ya Mhe. Rais katika msiba huo uliopo Kinondoni mtaa wa Ufipa jijini Dar es Salaam. (Picha na Ikulu)




Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: RAIS DKT. MAGUFULI ATOA RAMBIRAMBI MSIBA WA SHEHE SAAD ZUBEIR ALLY KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM
RAIS DKT. MAGUFULI ATOA RAMBIRAMBI MSIBA WA SHEHE SAAD ZUBEIR ALLY KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgpKOz4gqrVu-xoTUQ0qAbbzj7icCSXkeXAGEN60Pav5xK2SmbiSRRX9LwYwJ7GRNcVQdU5NX9Y9Rq9PoRErAdiEVwh0ySvmUJgsBzBYyEGIulSJv65Xf14dD53camPDFasgSPFYF8rLos/s640/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgpKOz4gqrVu-xoTUQ0qAbbzj7icCSXkeXAGEN60Pav5xK2SmbiSRRX9LwYwJ7GRNcVQdU5NX9Y9Rq9PoRErAdiEVwh0ySvmUJgsBzBYyEGIulSJv65Xf14dD53camPDFasgSPFYF8rLos/s72-c/1.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/09/rais-dkt-magufuli-atoa-rambirambi-msiba.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/09/rais-dkt-magufuli-atoa-rambirambi-msiba.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy