NAIBU SPIKA ATOA ZAWADI YA PIKIPIKI NA PESA TASLIMU KWA WASHINDI WA TAMASHA LA TULIA TRADITIONAL FESTIVAL 2017
HomeJamii

NAIBU SPIKA ATOA ZAWADI YA PIKIPIKI NA PESA TASLIMU KWA WASHINDI WA TAMASHA LA TULIA TRADITIONAL FESTIVAL 2017

 Mkurugenzi wa Taasisi ya Tulia Trust na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson akimkabidhi...

UNESCO YATAKA WANANCHI KUENZI URITHI WA DUNIA KWA KUTEMBELEA
UPDATES MSIBA WA MAREHEMU BALOZI CISCO MTIRO, MAZISHI KUFANYIKA JUMATANO
KILIMANJARO DIALOGUE INSTITUTE YAENDESHA MDAHALO WA MAZINGIRA MANISPAA YA ILALA

 NAIBU SPIKA ATOA ZAWADI YA PIKIPIKI NA PESA TASLIMU KWA WASHINDI WA TAMASHA LA TULIA TRADITIONAL FESTIVAL 2017


 Mkurugenzi wa Taasisi ya Tulia Trust na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson akimkabidhi funguo ya Pikipiki Kiongozi wa Kundi la Ngoma la Kannengwa Rungwe, Nolbert Mwandinga, baada ya kundi lake kuibuka mshindi wa kwanza katika kundi la Ingoma Kituli, wakati wa hafla ya kutoa zawadi kwa washindi wa Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2017, lililomalizika mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa Tandale Tukuyu Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya. Katika Tamasha hilo jumla ya washindi 10 wa kwanza kutoka kila kundi walizawadiwa Pikipiki.
 Mkurugenzi wa Taasisi ya Tulia Trust na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson akicheza ngoma ya asili ya kundi la  Banyampulo ya kabila la Wanyakyusa, wakati wa Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2017, lililomalizika mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa Tandale Tukuyu Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya. Katika Tamasha hilo jumla ya washindi 10 wa kwanza kutoka kila kundi walizawadiwa Pikipiki.



 Wacheza Bao Gabriel Mwasankinga wa timu ya CCM (kushoto) akichuana na Pascal Mbwelembweta wa timu ya Kawechele, kutafuta mshindi wa tatu katika mchezo wa fainali za mchezo huo kuadhimisha Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2017, lililomalizika mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa Tandale Tukuyu Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya.

 Wacheza Bao Kocha Lufingo wa timu ya Stendi Kuu (kushoto) akichuana na Six Willson wa timu ya Soko Kuu, kutafuta mshindi wa kwanza na wapili katika mchezo wa fainali za mchezo huo kuadhimisha Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2017, lililomalizika mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa Tandale Tukuyu Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya.


Mkurugenzi wa Taasisi ya Tulia Trust na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, akipokea michango ya hela kutoka kwa wananchi wa Tukuyu kwa ajili ya harambee ya kuichangia timu ya Tukuyu Stars ''Changia Tukuyu Stars irudi Ligi Kuu'' wakati wa  Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2017, lililomalizika mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa Tandale Tukuyu Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya. Katika Tamasha hilo jumla ya washindi 10 wa kwanza kutoka kila kundi walizawadiwa Pikipiki. (Picha na Muhidin Sufiani)
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: NAIBU SPIKA ATOA ZAWADI YA PIKIPIKI NA PESA TASLIMU KWA WASHINDI WA TAMASHA LA TULIA TRADITIONAL FESTIVAL 2017
NAIBU SPIKA ATOA ZAWADI YA PIKIPIKI NA PESA TASLIMU KWA WASHINDI WA TAMASHA LA TULIA TRADITIONAL FESTIVAL 2017
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg0REvVTPxBapFIepD_po9_Yy5MSHavKVNoYZYbjjvfh3bn_yumUwrcLcZudYHcfBZE9NTHN_1yGdJ2iJzTDUoGtI1v2Q_P5y0Goy_O9dvqXUOxQxP6L7Qq9PNHgknnV9PAgV-dcahlnS1J/s640/01.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg0REvVTPxBapFIepD_po9_Yy5MSHavKVNoYZYbjjvfh3bn_yumUwrcLcZudYHcfBZE9NTHN_1yGdJ2iJzTDUoGtI1v2Q_P5y0Goy_O9dvqXUOxQxP6L7Qq9PNHgknnV9PAgV-dcahlnS1J/s72-c/01.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/09/naibu-spika-atoa-zawadi-ya-pikipiki-na.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/09/naibu-spika-atoa-zawadi-ya-pikipiki-na.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy