MAZISHI YA WATOTO WATATU WALIOFARIKI KWA KULIPUKIWA NA BOMU WILAYANI MONDULI
HomeMikoani

MAZISHI YA WATOTO WATATU WALIOFARIKI KWA KULIPUKIWA NA BOMU WILAYANI MONDULI

    Wanafunzi wa shule ya msingi Nafcon wakiwa wamebeba majeneza yenye miili ya wanafunzi wenzao mara baada ya kuwasili nyumba...

MAZISHI YA WATOTO WATATU WALIOFARIKI KWA KULIPUKIWA NA BOMU WILAYANI MONDULI

 Wanafunzi wa shule ya msingi Nafcon wakiwa wamebeba majeneza yenye miili ya wanafunzi wenzao mara baada ya kuwasili nyumbani kutokea hospitali ya wilaya ya Monduli kabla ya mazishi  katika Kijiji cha Nafco kilichopo Kata ya Loksale wilayani Monduli, Mkoa wa Arusha 

 Waombolezaji kwenye mazishi hayo katika Kijiji cha Nafco kilichopo Kata ya Loksale wilayani Monduli, Mkoa wa Arusha 

 Ibada ya mazishi katika Kijiji cha Nafco kilichopo Kata ya Loksale wilayani Monduli, Mkoa wa Arusha 

Mkuu wa wilaya ya Monduli Mhe. Iddi Hassan Kimnta akifuatiwa na Brigedia Jenerali Athanasi Mbonye, Kamanda wa Brigedi ya Mbuni, na Brigedia Jenerali R.G. Hanti  pamoja na wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama wakiwa kwenye mazishi hayo.
 Mkuu wa wilaya ya Monduli Mhe. Iddi Hassan Kimnta akifuatiwa na Brigedia Jenerali Athanasi Mbonye, Kamanda wa Brigedi ya Mbuni, na Brigedia Jenerali R.G. Hanti  pamoja na wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama wakiwa kwenye mazishi hayo.
 Waombolezaji kwenye mazishi hayo katika Kijiji cha Nafco kilichopo Kata ya Loksale wilayani Monduli, Mkoa wa Arusha 
 Waombolezaji kwenye mazishi hayo katika Kijiji cha Nafco kilichopo Kata ya Loksale wilayani Monduli, Mkoa wa Arusha 
 Waombolezaji kwenye mazishi hayo katika Kijiji cha Nafco kilichopo Kata ya Loksale wilayani Monduli, Mkoa wa Arusha 

Brigedia Jenerali Athanasi Mbonye, Kamanda wa Brigedi ya Mbuni akitoa salamu za rambirambi kwa niaba ya jeshi kwenye mazishi hayo.

 Mkuu wa Wilaya ya Monduli Mhe. Iddi Hassan Kimanta akitoa rambirambi za serikali kwenye mazishi hayo  katika Kijiji cha Nafco kilichopo Kata ya Loksale wilayani Monduli, Mkoa wa Arusha baada ya shughuli ya kuaga miili hiyo katika Hospitali ya Wilaya ya Monduli. 

Mkuu wa wilaya ya Monduli Mhe. Iddi Hassan Kimnta akifuatiwa na Brigedia Jenerali Athanasi Mbonye, Kamanda wa Brigedi ya Mbuni, na Brigedia Jenerali R.G. Hanti  wakitoa heshima za mwisho kwa marehemu kabla ya mazishi.

 Wanafunzi wa shule ya msingi Nafcon wakiwa wamebeba  mauakwenye  mazishi  ya wenzao katika Kijiji cha Nafco kilichopo Kata ya Loksale wilayani Monduli, Mkoa wa Arusha.

 Askari wa JWTZ wakiwa wamebeba moja ya majeneza ya marehemu hao wakielekea makaburini kwa mazishi.

 Mkuu wa wilaya ya Monduli Mhe. Iddi Hassan Kimnta akiweka udongo kaburini
Mama mzazi wa marehemu Jonsoni akiweka mchanga kwenye kaburi la mwanae. (Habari na picha zote na HD TEAM MEDIA)
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MAZISHI YA WATOTO WATATU WALIOFARIKI KWA KULIPUKIWA NA BOMU WILAYANI MONDULI
MAZISHI YA WATOTO WATATU WALIOFARIKI KWA KULIPUKIWA NA BOMU WILAYANI MONDULI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj-hqSz4eRHk1ZwLYMsvwZS7t6QF1WbXM9cXdTc9vqKAS10HtlWiBQy4du9369RFAMsC1K7B0GLEpVHUrsUdpkxTsyaE278uIFmJUVrJ-D1CSPbvAisV090A9rnVX7nbSyL20VcQyLe0Ggg/s640/IMG_6244.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj-hqSz4eRHk1ZwLYMsvwZS7t6QF1WbXM9cXdTc9vqKAS10HtlWiBQy4du9369RFAMsC1K7B0GLEpVHUrsUdpkxTsyaE278uIFmJUVrJ-D1CSPbvAisV090A9rnVX7nbSyL20VcQyLe0Ggg/s72-c/IMG_6244.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/09/mazishi-ya-watoto-watatu-waliofariki.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/09/mazishi-ya-watoto-watatu-waliofariki.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy