Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Mkurugenzi wa Shirika la Kazi Duniani (ILO) katika Nchi za Tanzania, Kenya, Uganda, Rwan...
 |
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Mkurugenzi wa Shirika la Kazi Duniani (ILO) katika Nchi za Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi, Bibi Mary Kawar kitabu baada ya kuzindua Miongozo ya Mafunzo Katika Maeneo ya Kazi kwenye ukumbi wa LAPF mjini Dodoma Septemba 16, 2017. Watatu kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama na wa pili kulia ni Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage. Kulia ni Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekinolojia, Mhandisi Stella Manyanya na kushoto ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana na Ajira, Anthony Mavunde.
|
 |
Baadhi ya washiriki wa uzinduzi wa Miongozo ya Mafunzo Katika Maeneo ya Kazi uliofanywa na Waziri Mkuu kwenye ukumbi wa LAPF mjini Dodoma Septemba 16, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
 |
Baadhi ya washiriki wa uzinduzi wa Miongozo ya Mafunzo Katika Maeneo ya Kazi uliofanywa na Waziri Mkuu kwenye ukumbi wa LAPF mjini Dodoma Septemba 16, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
 |
Baadhi ya washiriki wa uzinduzi wa Miongozo ya Mafunzo Katika Maeneo ya Kazi uliofanywa na Waziri Mkuu kwenye ukumbi wa LAPF mjini Dodoma Septemba 16, 2017. |
 |
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipozindua Miongozo ya Mafunzo katika Maeneo ya Kazi kwenye ukumbi wa LAPF mjini Dodoma Septemba 16, 2017. Kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama. Wapili kulia ni Mkurugenzi wa Shirika la Kazi Dunia wa Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanbda na Burundi, Mary Kawar. |
 |
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na viongozi walioshiriki katika Uzinduzi wa Miongozo ya mafunzo Katika Maenneo ya Kazi alioufanya kwenye ukumbi wa LAPF mjini Dodoma Septemba 16, 2017. |
 |
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akigana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama baada ya kuzindua Miongozo ya Mafunzo Mahala pa Kazi kwenye ukumbi wa LAPF mjini Dodoma Septemba 16, 2017. Kulia ni Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage na kushoto ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi,Vijana na Ajira, Anthony Mavunde. Watatu kulia ni Mkuu wa Wlaya ya Kongwa, Deogratius, Ndejembi. |
COMMENTS