LUSAJO SAJENT WA SERENA HOTELI NA NEEMA WALIVYO MEREMETA
HomeJamii

LUSAJO SAJENT WA SERENA HOTELI NA NEEMA WALIVYO MEREMETA

  Bwana Harusi Lusajo Sajent Mwangambaku akiwa katika pozi na mke wake Neema Stanley Matowe katika hafla yake ya ndoa iliyofanyika Ukum...

MRITHI WA DKT. MDEGELA KKKT DAYOSISI YA IRINGA, MCHUNGAJI BLASTON GAVILE, KUWEKWA WAKFU JUMAPILI
WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO NA CHAMA CHA MAWAKALA WA FORODHA TANZANIA WAZINDUA RASMI KONGAMANO LA GLOBAL LOGISTICS SUMMIT –TANZANIA 2017
IDARA YA HABARI (MAELEZO) YAPOKEA KAMUSI KUU KUENZI KISWAHILI


 Bwana Harusi Lusajo Sajent Mwangambaku akiwa katika pozi na mke wake Neema Stanley Matowe katika hafla yake ya ndoa iliyofanyika Ukumbi wa Mirando Sinza jijini Dar es Salaam juzi. Bwana harusi anatoka Tukuyu mkoani Mbeya na Bibi Harusi anatoka Mkoa wa Morogoro.


Wapambe wa maharusi hao wakiwa kwenye pozi. Kulia ni Bwana Yohana na mkewe Bi. Jenifa Yohana.
Maharusi  wakiwa na wapambe wao.
 Mama wa bwana harusi akichukua msosi.
 Msanii wa kujitegemea akitoa burudani.
 Maharusi wakiserebuka kwa raha zao na wafanyakazi wenzao 
wa Serena Hoteli.
 Mziki ukiendelea.
 Mserebuko ukiendelea.
 Bwana harusi akiwa amepozi na mama yake,  Hilda Mulinde. Da kumbe harusi ni tamu.






 Sherehe ikiendelea.
 Wacheza shoo wakionesha umahiri wa kucheza kabla ya maharusi kuingia ukumbini.
 Maharusi wakiwa na Kulwa na Dotto Mwaibale katika 
sherehe hiyo.
 Maharusi wakiingia ukumbini.
 Shoo ikifanyika.
 Kamati ikienda kujitambulisha.
 Mwenyekiti wa Kamati ya harusi hiyo, Desdery Dotto akizungumza.
 Mama wa bwana harusi akisalimia wageni waalikwa.
 Maharusi wakikata keki.
 Mke akimlisha  keki na mmewe.
 Mme akimlisha keki mkewe
 Mama na mkwewe wakikumbatiana kwa furaha.
 Shampeni zikifunguliwa.
 Mume na mke wakinyweshana mvinyo.
 Wageni waalikwa wakiwapongeza maharusi.
 Dereva wa maharusi hao,  Mariam Mkumbukwa kutoka Europcar akiwa na furaha katika hafla hiyo.
 Picha ya pamoja hiyo.
Wafanyakazi wa Hoteli ya Serena wakiwa katika picha ya pamoja na maharusi hao.

(Imeandaliwa na mtandao wa www.habari za jamii.com-simu namba 0712-727062)
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: LUSAJO SAJENT WA SERENA HOTELI NA NEEMA WALIVYO MEREMETA
LUSAJO SAJENT WA SERENA HOTELI NA NEEMA WALIVYO MEREMETA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjqeZej56fadwoIvQrrF18Z7n_pRnJNTmo-ZesLO-S7mOmvfNrw8Q7a-MVn0VJYGTGeFB5_o8TSsm32TvOHUQ9liy6dhu89HUPrsPN4T9lAUBxjd2AvQRxJW_215wKC4JWARhoJ7jP1Gi5p/s640/1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjqeZej56fadwoIvQrrF18Z7n_pRnJNTmo-ZesLO-S7mOmvfNrw8Q7a-MVn0VJYGTGeFB5_o8TSsm32TvOHUQ9liy6dhu89HUPrsPN4T9lAUBxjd2AvQRxJW_215wKC4JWARhoJ7jP1Gi5p/s72-c/1.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/09/lusajo-sajent-wa-serena-hoteli-na-neema.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/09/lusajo-sajent-wa-serena-hoteli-na-neema.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy