BAADA YA POLISI KUMALIZA MAHOJIANO YA MANJI NA WENZAKE WATATU,WAREJESHWA MAHAKAMANI KUENDELEA NA KESI YAO
HomeJamii

BAADA YA POLISI KUMALIZA MAHOJIANO YA MANJI NA WENZAKE WATATU,WAREJESHWA MAHAKAMANI KUENDELEA NA KESI YAO

Na Karama Kenyunko, blogu ya Jamii. Baada ya jeshi la Polisi kumaliza mahojiano yao dhidi ya mshtakiwa  Yusuf Manji na wenzake watatu...

BENKI YA STANDARD CHARTERED YAKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA COCA COLA, MWANANCHI
RAIS MUSEVENI KUWASILI NCHINI JUMAMOSI
RAIS MSTAAFU DKT. JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA RAIS WA BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA JIJINI ABIDJAN, IVORY COAST

Na Karama Kenyunko, blogu ya Jamii.

Baada ya jeshi la Polisi kumaliza mahojiano yao dhidi ya mshtakiwa  Yusuf Manji na wenzake watatu juu ya tuhuma zinazowakabili za uhujumu uchumi, mapema leo wamemkabidhi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kama ilivyoamriwa Jana.

Mbali na Manji ambaye ni mfanyabiashara maarufu nchini, washitakiwa wengine waliokabidhiwa ni Meneja Rasilimali watu wa Kampuni ya Quality Group Ltd, Deogratius Kisinda, Mtunza stoo, Abdallah Sangey na Thobias Fwere.
  
Akiwakabidhi watuhimiwa hao, wakili wa serikali mwandamizi, Mutalemwa Kishenyi amemueleza Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shaidi kuwa washtakiwa hao wamerudishwa mahakamani kama ilivyoamuriwa, baada ya polisi kumaliza kuwahoji.
Baada ya washtakiwa kukabidhiwa wakiwa salama na afya zao nzuri, Hakimu Shaidi alisema kesi hiyo itaendelea na utaratibu kama ulivyokuwa awali, ambapo itatajwa September 8/2017.

Jana mchana mahakama hiyo iliruhusu Manji na wenzake kwenda kuhojiwa na Polisi  ili kukamilisha upelelezi katika kesi ya uhujumu uchumi.

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: BAADA YA POLISI KUMALIZA MAHOJIANO YA MANJI NA WENZAKE WATATU,WAREJESHWA MAHAKAMANI KUENDELEA NA KESI YAO
BAADA YA POLISI KUMALIZA MAHOJIANO YA MANJI NA WENZAKE WATATU,WAREJESHWA MAHAKAMANI KUENDELEA NA KESI YAO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgVxCgr0XdhAFI1GRyf5Lm7OjZDNQ5a3KLqm0BSRVrXc4NyhlRB0c1Wqs00xn9jtXV4qla7sZIo8ESF5haeX2ab9qk6kMaK5a4eogdU98gZDf2rE-5Hsyxz2I-9jbsWq_NSXS8cxDUWiTc/s320/index.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgVxCgr0XdhAFI1GRyf5Lm7OjZDNQ5a3KLqm0BSRVrXc4NyhlRB0c1Wqs00xn9jtXV4qla7sZIo8ESF5haeX2ab9qk6kMaK5a4eogdU98gZDf2rE-5Hsyxz2I-9jbsWq_NSXS8cxDUWiTc/s72-c/index.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/09/baada-ya-polisi-kumaliza-mahojiano-ya.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/09/baada-ya-polisi-kumaliza-mahojiano-ya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy