WANANCHI WA DOLOLO WAISHUKURU SERIKALI YA MAGUFULI

Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jafo akikagua ujenzi wa daraja la Kologombe ambalo lipo katika hatua za mwisho...


jaf (1)
Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jafo akikagua ujenzi wa daraja la Kologombe ambalo lipo katika hatua za mwisho za ujenzi.
jaf (2)
Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jafo akikagua ujenzi wa daraja ya Nyatanga lililopo katika kijiji cha Nyani wilayani Kisarawe.
jaf (3)
Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jafo akipata maelezo ya ujenzi wa barabara ya Mzenga-Gwata.

jaf (4)
Ujenzi unaoendelea wa daraja la Kologombe wilayani Kisarawe.
……………..
WANANCHI wa vijiji vya Dololo na Gwata katika kata ya Mafizi wilayani Kisarawe wameishukuru serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Dk. John Magufuli wa kuwaboresha barabara inayotoka Mzenga hadi Dololo kupitia Gwata. 

Wakazi hao walitoa shukurani hizo wakati wa ziara ya Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jafo ya kukagua miradi ya maendeleo iliyofanywa na Naibu Waziri huyo ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo hilo.

Wamemshukuru Mbunge wao kwa kuwapigania ambapo kwasasa barabara hiyo inaboreshwa kwa kuweka  vizuri katika maeneo korofi na kukamilisha ujenzi wa madaraja mawili la kipora, Nyatanga, na kwasasa serikali inakamilisha ujenzi wa daraja la Kologombe.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WANANCHI WA DOLOLO WAISHUKURU SERIKALI YA MAGUFULI
WANANCHI WA DOLOLO WAISHUKURU SERIKALI YA MAGUFULI
http://fullshangweblog.com/home/wp-content/uploads/2017/08/jaf-1.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/08/wananchi-wa-dololo-waishukuru-serikali.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/08/wananchi-wa-dololo-waishukuru-serikali.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy