NAIBU Katibu Mkuu wa CCM-Bara- Rodrick Mpogolo (wa pili kushoto) akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha ...
NAIBU Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Xu Lyuping (kulia), katika ukumbi wa Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara- Rodrick Mpogolo.
Ujumbe wa Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Rodrick Mpogo na ujumbe wa Naibu Waziri wa mambo ya Nje wa CPC, wakishangilia baada ya mazungumzo kumalizika.
NAIBU Katibu Mkuu wa CCM-Bara- Rodrick Mpogolo akiagana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Xu Lyuping baada ya mazungumzo yao katika ukumbi wa Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. (Picha na Bashir Nkoromo).
Naibu Katibu Mkuu akimsindikiza mgeni wake baada aya mazungumzo hayo
Naibu Katibu Mkuu akimsindikiza mgeni wake baada aya mazungumzo hayo
Naibu Katibu Mkuu akimsindikiza mgeni wake baada aya mazungumzo hayo
Naibu Katibu Mkuu akimsindikiza mgeni wake baada aya mazungumzo hayo
NAIBU Katibu Mkuu wa CCM-Bara- Rodrick Mpogolo akiagana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Xu Lyuping baada ya mazungumzo yao katika ukumbi wa Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga.
NAIBU Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole akiagana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Xu Lyuping baada ya mazungumzo hayo.
UGENI HUU SAFI SANA, Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara- Rodrick Mpogolo akibadilishana mawazo na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole baada ya wageni kuondoka baada ya mazungumzo. (PICHA NA BASHIR NKOROMO). PICHA NYINGI ZAIDI ZA TUKIO HILO/ BOFYA
COMMENTS