KUTANA NA MWANAMKE ALIYE JITOLEA KUMTIBU MUME WAKE MARADHI MAZITO
HomeJamii

KUTANA NA MWANAMKE ALIYE JITOLEA KUMTIBU MUME WAKE MARADHI MAZITO

Maisha ya ndoa huja na changamoto nyingi sana. Moja kati ya changamoto kubwa wanazo zipata wanandoa ni pale mmoja kati ya wanandoa hao anap...

BENKI YA STANDARD CHARTERED YAKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA COCA COLA, MWANANCHI
RAIS MUSEVENI KUWASILI NCHINI JUMAMOSI
RAIS MSTAAFU DKT. JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA RAIS WA BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA JIJINI ABIDJAN, IVORY COAST



Maisha ya ndoa huja na changamoto nyingi sana. Moja kati ya changamoto kubwa wanazo zipata wanandoa ni pale mmoja kati ya wanandoa hao anapo patwa na mtihani wa kuugua maradhi mazito kama vile kisukari au kiharusi.
Jambo hili linapotokea ndoa huyumba kwa kiasi kikubwa sana na mwisho wa siku huweza kufikia hatua ya kuvunjika kabisa.
Hata hivyo si wanandoa wote huwakimbia wenzi wao pindi wanapo patwa na matatizo makubwa hususani maradhi mazito. Mfano mzuri ni kwa mwanadada Tina (33) mkazi wa Tabata jijini Dar Es Salaam.
Wakati baadhi ya wanawake huwakimbia waume au wapenzi wao pindi wagunduapo kuwa waume au wapenzi wao hao wanakabiliwa na maradhi mazito kama vile kisukari, moyo, kiharusi nakadhalika, hali ni tofauti kwa mwanadada Tina.
Mwanadada huyu , licha ya kuendelea kuiheshimu na kuitunza ndoa yake, lakini pia amejitolea bega kwa bega kushiriki katika tiba dhidi ya maradhi mazito yanayo msumbua mume wake.
Tina anameapa kuwa atahakikisha anapambana hadi tone la mwisho la damu yake ili mradi tu mumewe aweze kupona maradhi hayo mazito yanayo msumbua.
JE NI MARADHI GANI HAYO ? NA JE TINA ANASHIRIKI VIPI KATIKA KUHAKIKISHA MUMEWE ANAPATA TIBA DHIDI YA MARADHI YANAYO MSUMBUA ?
Kuyafahamu yote haya BONYEZA : https://neemaherbalist.blogspot.com/2017/08/kutana-na-mwanamke-aliye-jitolea_26.html
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: KUTANA NA MWANAMKE ALIYE JITOLEA KUMTIBU MUME WAKE MARADHI MAZITO
KUTANA NA MWANAMKE ALIYE JITOLEA KUMTIBU MUME WAKE MARADHI MAZITO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjuKbE8cVFD5tNkDct55G_weiLTt_km2HunMdJWxvnfgIrW1hRjksgiploz6KBuKjNLCeq4pf3S3nHHGfUWrLivl4MQi06MX-ATY1YM2DDjXFaizhtdGKbmnpGOr7C1NDx1t53F3lnvhHqB/s640/Raisins5.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjuKbE8cVFD5tNkDct55G_weiLTt_km2HunMdJWxvnfgIrW1hRjksgiploz6KBuKjNLCeq4pf3S3nHHGfUWrLivl4MQi06MX-ATY1YM2DDjXFaizhtdGKbmnpGOr7C1NDx1t53F3lnvhHqB/s72-c/Raisins5.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/08/kutana-na-mwanamke-aliye-jitolea.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/08/kutana-na-mwanamke-aliye-jitolea.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy