DKT. DALLO OLE WAKE MGOMBEA ATAKAE ENDA KINYUME NA SHERIA YA UCHAGUZI
HomeSiasa

DKT. DALLO OLE WAKE MGOMBEA ATAKAE ENDA KINYUME NA SHERIA YA UCHAGUZI

Na Woinde Shizza,Arusha Wagombea wa nafasi mbalimbali za ungozi ndani ya chama cha mapinduzi wilaya wa Arusha wameta...









Na Woinde Shizza,Arusha







Wagombea wa nafasi mbalimbali za ungozi ndani ya chama cha
mapinduzi wilaya wa Arusha wametakiwa kufuata kanuni na sheria za
zilizowekwa  na chama hicho.



Hayo yamebainishwa na katibu wa chama cha mapinduzi wilaya
ya Arusha Dkt. Ramathani Dallo wakati akiongea na waandishi wa habari ofisini
kwake kuhusiana na  tuhuma za kuwepo na baadhi ya wagombea kuja kwenye usahili na watu wanaodaiwa sio wagombea bali ni
waganga wa kienyeji







Alisema kuwa ni muhimu sana wagombea wakifuata kanuni
taratibu na sheria zilizowekwa  katika
uchaguzi  kwa mujibu wa kanuni ya  muongozo wa uchaguzi ya mwaka 2010







Alisema kuwa yeye binafsi ajawaoana watu hao wanaodaiwa ni
waganga wa kienyeji na usahili  ulienda
vizuri na k atika kipindi hichi  uchaguzi
unaendelea vyema, huku akibainisha kuwa iwapo kutakuwa na mgombea yeyote ambae
atakwenda kinyume na sheria ya uchaguzi atamuaonea huruma bali atuakali zidi
yake itachukuliwa .


“Nasema kwa kweli ili swala na mgombea  wa UWT kuja na mganga wa kienyeji kwenye
usaili sijaliona ila ukweli napenda kuchukua nafasi hiii kuwasihi iwapo
tutamkamata mgombea yeyote Yule anaekwenda kinyume na sheria tutamchukulia
hatua kali za kisheria ikiwemo kuinta kikao kama jambo ni gumu sana pia
itatulazimu tumkate jina lake na asiwepo kwenye kinyanganyiro chochote”alisema
Dkt. Dallo

Alizitaja baadhi yakanuni kuwa ni pamoja na kutofanya kampeni ,kukusanya watu kufanya mikutano isioyo rasmi kichama pamoja na  nyingi.


Aidha akiongelea baadhi za uchaguzi zilizopita alisema kwa
upande wa uchaguzi wa kata ,mitaaa umemalizika vizuri sasa ivi ndio wanaendelea
na maeneo mengine yaliyobaki



Awali baadhi ya wagombea ambao hawakutaka majina yao
yaandikwe walisema kuwa kuna mmoja wa mgombea mwenza sik u ya usahili alikuja
akiwa na mganga wa kienyeji kitu ambacho ni kinyume na sheria ya uchaguzi
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: DKT. DALLO OLE WAKE MGOMBEA ATAKAE ENDA KINYUME NA SHERIA YA UCHAGUZI
DKT. DALLO OLE WAKE MGOMBEA ATAKAE ENDA KINYUME NA SHERIA YA UCHAGUZI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiDAtnSCf8iM8NsSI1iACo8KZYyPMa6GMcIZIptGISZISZMM-hXkmR9VmwFUdWWPYRX8AtfQaGXxZXvpy4z0RHsmlQjz74A_G4XsbwPif5i9gxejvvx2bj3cGhh3qn6aG9h69jPOTMlI8EN/s640/Bendera+ya+CCM.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiDAtnSCf8iM8NsSI1iACo8KZYyPMa6GMcIZIptGISZISZMM-hXkmR9VmwFUdWWPYRX8AtfQaGXxZXvpy4z0RHsmlQjz74A_G4XsbwPif5i9gxejvvx2bj3cGhh3qn6aG9h69jPOTMlI8EN/s72-c/Bendera+ya+CCM.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/08/dkt-dallo-ole-wake-mgombea-atakae-enda.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/08/dkt-dallo-ole-wake-mgombea-atakae-enda.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy