MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI, IGP SIMON SIRRO AFANYA ZIARA ZANZIBAR
HomeJamii

MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI, IGP SIMON SIRRO AFANYA ZIARA ZANZIBAR

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro (kushoto) akizungumza na maafisa wakuu wa Jeshi la Polisi alipofanya kikao na maa...

ACACIA YAKABIDHI HUNDI ZA SHILINGI BILIONI 1.1 ZA USHURU WA HUDUMA KAHAMA MJI NA MSALALA
WIZARA YA MALIASILI, ARDHI NA TAMISEMI KUAMUA HATMA YA MGOGORO WA PORI LA AKIBA MKUNGUNERO – DK. KIGWANGALLA
TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) YAFANYA SEMINA YA AFYA YA MOYO NA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA KWA WABUNGE


Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro (kushoto) akizungumza na maafisa wakuu wa Jeshi la Polisi alipofanya kikao na maafisa hao akiwa kwenye ziara ya kikazi visiwani Zanzibar kabla ya kwenda kujitambulisha kwa Rais wa Zanzibar mheshimiwa, Ali Mohamed Shein. Kulia ni Kamishna wa Polisi Zanzibar CP Hamdani makame. (Picha na Hassan Mndeme).
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akisalimiana na wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama ya zanzibar alipokwenda kufanya kikao na kamati hiyo akiwa kwenye ziara ya kikazi visiwani Zanzibar. IGP alikwenda pia kujitambulisha kwa Rais wa Zanzibar mheshimiwa, Dk Ali Mohamed Shein. 
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akizungumza na wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama ya zanzibar alipokwenda kufanya kikao na kamati hiyo akiwa kwenye ziara ya kikazi visiwani Zanzibar. IGP alikwenda pia kujitambulisha kwa Rais wa Zanzibar mheshimiwa, Dk Ali Mohamed Shein.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI, IGP SIMON SIRRO AFANYA ZIARA ZANZIBAR
MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI, IGP SIMON SIRRO AFANYA ZIARA ZANZIBAR
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgQA7muHhlyV1B-UKgcLbnrT4ZgrP9n6aalMW6yEmqzNLPsDrTrcRu9SZ_-K-V1Q_EIT8Z-9Ge0OIQ3sCbFwfur8PVTX4S19MHVkVJMUJOv7Rb2mVUUnm_23JG9v1hhyphenhyphenFnGe1bgJK6iyZuk/s640/1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgQA7muHhlyV1B-UKgcLbnrT4ZgrP9n6aalMW6yEmqzNLPsDrTrcRu9SZ_-K-V1Q_EIT8Z-9Ge0OIQ3sCbFwfur8PVTX4S19MHVkVJMUJOv7Rb2mVUUnm_23JG9v1hhyphenhyphenFnGe1bgJK6iyZuk/s72-c/1.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/06/mkuu-wa-jeshi-la-polisi-nchini-igp.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/mkuu-wa-jeshi-la-polisi-nchini-igp.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy